Huyu mzee kanifikirisha sana!

Huyu mzee kanifikirisha sana!

josephwaara

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
304
Reaction score
640
Heshima kwenu wakuu, nikiwa napitia taarifa mbalimbali kule youtube bhana nkakutana na kipindi cha ziara iliyofanyika na mwandishi wa Wasafi Digital huko Manyara kuhusu kabila la wahadzabe.

Katika mahojiano na mzee mmoja kuhusu masuala ya kulenga shabaha yule mzee akasema aliwahi kushiriki mashindano ya wilaya, mkoa na taifa na kote akashinda hadi akapelekwa kushiriki hayo mashindano Korea Kusini ila hajui kilichoendelea maana alivyorudi nchini alipewa zawadi ya baiskeli tu.

Kwa kweli nmeishia kusikitika tu maana naamini hapa kutakuwa kuna watu walipiga dili mporipori huyu asiyejua kitu akaishia kununuliwa baiskeli akawindie swala huko porini.
 
FB_IMG_16520744680843184.jpg
 
Kama yule jamaa wa god must be crazy na yeye walimchinjia baharini
 
Asee ukiambiwa kitu na wazee chekecha sana. Ogopa sana stori za madingi wa zamani, wanapigaga fiksi balaaa

Unaweza umiza kichwa roho ikakuuma mzee kadhulumiwa kumbe mzee anakujaza tu, hakwenda cha Korea wala Namtumbo kulenga shabaha
 
Heshima kwenu wakuu, nikiwa napitia taarifa mbalimbali kule youtube bhana nkakutana na kipindi cha ziara iliyofanyika na mwandishi wa Wasafi Digital huko Manyara kuhusu kabila la wahadzabe.

Katika mahojiano na mzee mmoja kuhusu masuala ya kulenga shabaha yule mzee akasema aliwahi kushiriki mashindano ya wilaya, mkoa na taifa na kote akashinda hadi akapelekwa kushiriki hayo mashindano Korea Kusini ila hajui kilichoendelea maana alivyorudi nchini alipewa zawadi ya baiskeli tu.

Kwa kweli nmeishia kusikitika tu maana naamini hapa kutakuwa kuna watu walipiga dili mporipori huyu asiyejua kitu akaishia kununuliwa baiskeli akawindie swala huko porini.
Sasa hata angepewa hela zingemsaidia nini!? Wahadzabe hata mkiwahamishia posta wakae maghorofani watashindwa maisha yenu
 
Asee ukiambiwa kitu na wazee chekecha sana. Ogopa sana stori za madingi wa zamani, wanapigaga fiksi balaaa

Unaweza umiza kichwa roho ikakuuma mzee kadhulumiwa kumbe mzee anakujaza tu, hakwenda cha Korea wala Namtumbo kulenga shabaha

Wazee nao waongo waongo sana kweli mkuu
 
KARMA SAYS

When you destroy somebody's life, take it as a loan, because it will come back to you with interest.

Hao waliomuibia huyo mzee presha na kisukari vinawasubiri.
Trust me

Hakuna kitu kinaitwa karma na watu wabaya hufanikiwa

You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain
 
One thing is true.
TIME IS A TIRELESS TEACHER.

Lkn let me give you a hint.
Umeshawahi kuona jambazi akufikisha miaka hamsini?
Umeshawahi kuona polisi mstaafu aliyekuwa dhulmat Hana kisukari au akikaribia kukata roho?
Umeshawahi kumuona mchawi akikaribia kufa?
 
Hao uliowataja wapo wengi mwisho wao unakuwa mzuri wamekufa vizuri kwenye usingizi

Movies na hadithi zinafanya tukariri bad guys siku zote mwisho wao mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom