Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,710
Mwamba hazeeki kabisa!
Ndo najiuliza hapa 😎Kwanini hazeeki?
Hatari sana😅😅, mwamba akijiona sijui inakuwaje
Kwanini unataka azeekeNdo najiuliza hapa 😎
Hata zaidi anapita ni kitambo sana pengine ni marehemuAtakuwa kwenye early 30's
Kwahiyo we kuvishwa nepi kila siku unafikiri ni vizuri 😎😎😎Kwanini unataka azeeke
Kuna nepi zako zimepotea?Kwahiyo we kuvishwa nepi kila siku unafikiri ni vizuri 😎😎😎
Aanh we sema tujue tunakusaidiaje bwana mdogo! Maana ulivyopotea nikasema afadhali kijana kakua kaenda kujifunza, labda atakuja na mada zenye kichwa🤦🏽♀️Umeanza ukolofwiii 🤣🤣🤣
Zipo wapi?Zipo nyingi tu
We mwenyewe si umeona kama hizo poda ni za kwaoKwanini hazeeki?
Mpaka anasubiri kitoto kizeeke🤣We mwenyewe si umeona kama hizo poda ni za kwao
Kwahiyo anajipaka sana
Diapers ndo pampasi 😂 na vipi ukimfunga kanga kama enzi zetuSijajua, wanaozaa watakuwa wanajua! Japo naona nyumba nyingi ni diapers tu! Kila mtu mjanja siku hizi😆