Huyu mzee atakuwa na miaka mingapi hivi sasa?

Huyu mzee atakuwa na miaka mingapi hivi sasa?

Diapers ndo pampasi 😂 na vipi ukimfunga kanga kama enzi zetu
Ndio pampers, ukimfunga khanga nani atafua? Sikuhizi mabinti ni wavivu sana, wengine wamebanana, wengine tips za mikono hawezi kufua mavi ya mtoto! Kila mara vinaharisha hivyo vitoto huo muda wa kuvifulia ndio haupo! Tupo busy maofisini na smart phone basi! Kwahiyo diaper inarahisisha sana ukimvalisha akishafanya yake unamtoa tu na kumfuta na wipes unaenda kutupa🚮 biashara imeisha!
 
Ndio pampers, ukimfunga khanga nani atafua? Sikuhizi mabinti ni wavivu sana, wengine wamebanana, wengine tips za mikono hawezi kufua mavi ya mtoto! Kila mara vinaharisha hivyo vitoto huo mida wa kuvifulia ndio haupo! Tupo busy maofisini na smart phone basi! Kwahiyo diaper inarahisisha sana ukimvalisha akishafanya yake unamtoa tu na kumfuta na wipes unaend akutupa🚮 biashara imeisha!
Ahaaa sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom