Wewe hii simu ina edit keyboard sasa inaandika mali baada ya mahari sorry typing error
Mhhh kwanini unashindwa kuwa muungwana?Kwa hiyo ikiandika mali nawe unaiacha hivyo hivyo kwa kuwa sisi tutaelewa si ndio? Halafu ni baada au badala??. Wewe una shida ya kujieleza na kujichabganya ndio maana huyo mkwe wako hataki maelezo mengi toka kwako yatakayompotezea muda..andaa sharehe uoe usitake mizunguuko usiyoimudu
Mhhh kwanini unashindwa kuwa muungwana?
Hivi ukiongea bila kejeli unapungukiwa kitu au ujumbe hautafika?
Hata hunijui unaniletea dharau,
Hebu jirekebishe hatutafika kwa malumbano yasiyo na msingi.
Kama mtu timamu lazima ujue haya makosa ya kiuandishi ni kawaida. Sasa siwezi kukutolea maneno ya hovyo kwasababu sikujui na nakuheshimu.
Please maintain your dignity.
Mahari ni zawadu kutoka kwa mumemtarajiwa kwa mkewe, mimi Wazazi wangu hawakutaka mahari Dad alimwambia mahari ni zawadi kutoka kwako kumpe mkeo mtarajiwa so chochote utakacho jaaliwa,muhimu nnachoomba kwako ni malezi mema kwa mtoto wangu masikilizano dogo maliza kubwa nilete,sijakuuzia bali ninnakuozesha mpango sijui wakumpigaHivi jamani huyu baba mkwe mtarajiwa unampelekea Mahari anakataa anasema binti yake hauzwi, wewe andaa harusi tu.
Huyu Mchagga ananitakia mema Mimi na binti take kweli?
Hivi kwanini ukatae Mahari?
Mhhh huyu mzee kweli ana nia njema?
Au binti yake ni matatizo hadi akatae mali?
Siku huyu binti si anaweza anasema kwanza wewe hukunitolea Mahari niache niende kwetu?
Kuna maswali ukiyafikiria mweeeeh!
Jamani wadada hivi wewe ulipotolewa Mahari ulijisikiaje?
Tena Mahari ilipokuwa kubwa au ndogo moyoni ilikuwaje?
Tusaidiane tu maana hakuna namna!!!!!
Daaah,stori yako nzuri na inachekesha, chukua mzigo bure huyo mzee kakuelewa una stress za kuoa
Heshima yako mkuu Malcom, ukifikiria sana kutia mahari kuna mantiki gani hasa? Unamuhuza binti, je, unataka urudishiwe gharama za kumsomesha na kumtunza wakati ukujua wazi kwamba wewe kama mzazi huo ni wajibu wako bila kujali kama binti yako ataolewa au la.
Kwa wazazi wasomi hawapedi kabisa masuala ya mabinti zao kuonekana kama wananunuliwa vile, wanacho muomba Mungu ni binti yao hasipate ujauzito akiwa kwa wazazi wake basi, mengine kwao ni immaterial.
Binafsi nisingependa binti yangu atolewa mahari, cha muhimu akielewana na mwenza basi. Sina shaka kinacho kusumbua wewe unafikiri wanakutega au hutakuwa na uhuru ni mkeo mtarajiwa kwa kuwa at back of your mind atakuwa anafikiria hujamtolea mahari hivyo huna uhuru nae hiyo si kweli Malcom.
Labda mawenge yangu tu,
Lakini ukweli hili swala sijalielewa hataaa!
Wala sipati raha kwalo.
Labda mawenge yangu tu,
Lakini ukweli hili swala sijalielewa hataaa!
Wala sipati raha kwalo.
Labda mawenge yangu tu,
Lakini ukweli hili swala sijalielewa hataaa!
Wala sipati raha kwalo.
Hiyo ndio kashapokea na ndio maana anatoa maelekezo ya matumiz yake mjomba hausiki hapo labda kama unataka kuwapa rushwaMakubaliano na wajomba, mzee anasema hiyo hela nimepanga itumiwe kwenye harusi. Sasa hapo ndipo sielewi kwa nini hiyo Mali asipokee tu?
Kwani kuna ugumu gani?