Huyo Mzee kashamtafuna binti yake,mahari ya nini sasa?Labda mawenge yangu tu,
Lakini ukweli hili swala sijalielewa hataaa!
Wala sipati raha kwalo.
Huo utaratibu haupo...lazima ufate taratibu....Hivi utaratibu wa kutoa mahari ndio hivi!!! unajibebea tu unapeleka kabla hata ya posa alafu ikikubaliwa ndio unapangiwa mahari! au mimi ndio sijui.