Huyu mzazi tumueleweje?

Huyu mzazi tumueleweje?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,351
Huyu mzazi anaharibia watoto wake uzao alianza binti mdogo akapata bwana wakawaida tu huyu mama akamfukuza basi akaletewa tajiri tena wamadini akamfukuza akisema amekuja kumtoa sadaka na familia yake.

Saivi msichana akamuua kujenga nakuzaa na mtu wake wa mwanzo wakawaida hakuenda kwenye harusi alimpigia simu akamlaani akasema hutopata uzao mwingine ni huyo tu.

Jingine anakuwa hataki watoto wake waoe nakuolewa .

Maisha ni yakusadikika hivi nyie wazazi huwa mnatakaje??
 
Wazazi wanajikuta miungu watu sana.

Unaweza kuwa na mawazo ya kufanya kimaisha ujikwamue mzazi akawa wakwanza kukukatisha tamaa, lakini cha ajabu ukifanikiwa kwenye hilo, anataka aonekane yeye ndiye alikuwa mshauri wa kwanza na wakushukuriwa ni yeye.
 
Umeiona eh?

Mm nikito ushuhud hapa wa mzazi jinsia alivyo kichwa maji nitaonekana mkorofi. Wazaz wengine jau kweli yani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom