tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Katika hali isio kuwa ha kawaida na iliowashangaza wengi kampuni ya tour guides imeanza kuwa beba wageni wake wanao tembelea mbuga kupitia kampuni hiyo ,ubebaji huwo ambao machela hutumika kama picha inavyoonyesha
umelaaniwa vikali na jumuiya mbali mbali za haki za binadamu, hali Hii pia imeikasirisha serikali kupitia wizara ya mali asili na utalii na kupitia msemaji wake wana azimia kupiga marufuku utoaji huo wa huduma ya biashara, kwani ni udhalilishaji pia unashiria vitendo vya utumiwa, na baadhi ya wanachi wamedai hayo Ni baadhi tu ya mambo mabaya wafanyayo baadhi ya wawekezaji kwa wazawa hapa nchi