Huyu mwekezaji apigwe marufuku

Huyu mwekezaji apigwe marufuku

mmmmmh nachelea kusema kuna watu humu kweli sio watz!!maana ufafanuzi umetolewa lakini bado kuna wanaoshupalia kuwa ni bongo mweeeh!!kidoooogo ilitaka kufanana na yanayofanywa Tanzania kwenye kampuni za uwindaji wa kitalii,ingawa yenyewe ni mgeni hubebwa na kupongezwa haswa anapofanikiwa kuwinda wanyama jamii ya cats(Simba au Chui).

Isipokuwa hii naona kama imezidi mmmh!!
 
Back
Top Bottom