Huyu mwandishi kijana ni bonge la kanjanja na kibaraka wa wakubwa na anatumika kisiasa

Mwandishi huyo kakaza shingo kuandika uongo halafu kakusanya na genge lake la matapeli wamuunge mkono. Anataka kuwa level ya Lissu kwa kutamani tu. Ajabu hii.
Unganisha na Jery C. Muro. Katoa mada yake na nadhani ndiyo kundi hilo. Lakini tukumbuke, siku hizi Watz tumetambua sasa kuwa wote ni wajinga na wapumbavu. Kila mtu hamwelewi mwingine, kila mtu anamwona mwingine ni mjinga na mpumbavu kama alivyo yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Katika sakata la kulipuliwa kwa ofisi za IMMMA Advocates, Lissu anasimama kama mwanachama na kiongozi wa TLS na si mwanachama wa CHADEMA au mtu binafsi na kwa maana hiyo hawasilishi wala kusimamia maoni ya CHADEMA au ya Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni au maoni yake binafsi
Huwezi kumtenganisha Lissu na chadema
 
Mwandishi huyo kakaza shingo kuandika uongo halafu kakusanya na genge lake la matapeli wamuunge mkono. Anataka kuwa level ya Lissu kwa kutamani tu. Ajabu hii.
Hakuna mtu mnafiki na hatari wa kuwageuza watu misukule huko CDM kama Lissu. Alitoa orodha ya Mafisadi na kumhubiri yule Bwana kwa miaka 8. CHADEMA wote wakasema Aminaaaa! Akampamba yule mtu kuwa ni Malaika na kumpigia Kampeni za Urais 2015. CHADEMA wote wakasema Aminaa! Aliituhumu IMMMA Advocates Bungeni kwa kusaidia kuandaa Mikataba ya Kifisadi sakata la EPA. CHADEMA wote wakasema Aminaaaa! Aliungana na Mnyika kusema JK ni Dhaifu. CHADEMA wote wakasema Aminaaa! Na sasa anamkashifu Rais kwa kumuita Dikteta, CHADEMA wote wanasema Aminaaa! Sijui CHADEMA wamerogwa nini na huyo LISSU? Wamekuwa kama Wagalatia!
 
Mbona na ww ni mnafiki pia? Kiangalie ulichokiandika halaf ww huyo huyo kitafakari kwa mapana yake pasipo kuingiza mihemuko ya kisiasa na kishabiki ndani yake then utajiona Uko Kwenye nafasi gani Kati ya uzalendo na unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu:

6.TLS haikutamka moja kwa moja kuwa ni Polisi ndio waliovamia na kulipua jengo la ofisi za IMMMA Advocates bali walisema kuwa wamepwa taarifa/wanazo taarifa kuwa watu walioonekana kuvalia nguo za Jeshi la Polisi ndio waliohusika kulipua ofisi hizo(katika matamshi yao sijawasiki wakitamka kuthibitisha kuwa nguo hizo kweli zilikuwa ni sare za Jeshi la Polisi).

7.Ni mara ngapi watu wanakamatwa kwa kuvaa nguo za Jeshi la Polisi au zinazofanana na Jeshi la Polisi ili hali wao si Polisi halali wa Jeshi la Polisi Tanzania?

8.Katika mazingira haya,kulitaka Jeshi la Polisi kuchunguza tukio hili kuna kasoro gani ili hali hakuna mahali baraza la uongozi wa TLS limewatuhumu Polisi moja kwa moja kuhusika na tukio hili?

9.Kama kweli TLS ilitamka wazi kuwa waliovamia ofisi za mawakili wa IMMMA na kuzilipua walikuwa ni Polisi,mbona hatujaona Jeshi la Polisi likiwakamata viongozi hao wa TLS kwa kuchafua Jeshi hilo?

10.Ni kwanini kijana huyu asikamatwe kwa kupotosha tamko la TLS na zaidi kwa kumchafua IGP na Jeshi analoliongoza?

11.IMMMA Advocates kutetea wezi wa EPA si ndio kazi yao kama mawakili?

12.CHADEMA kupitia Tundu Lissu kuhoji IMMMA Advocates kuwatetea wezi wa EPA Bungeni walifanya vile kwasababu IMMMA Advocates walikuwa ni mawakili au walikuwa na sababu zingine?

13.TLS wangekaa kimya baada ya tukio hili la ofisi za IMMMA Advocates kulipuliwa ili hali walishatangaza rasimi kuwa shambulio dhidi ya wakili mmoja ni shambulio kwa mawakili wote,mngeacha kulaumu uongozi wa TLS kwa kushindwa hata kukemea na kulaani tukio hili?

Acheni unafiki na kujipendekeza huku mkitumika kisiasa!!
Acha kutuandikia upuuzi wewe kama anatumika vivyo hivyo na wewe unatumika huko. Aliyosema huyo unayemuita Mwandishi ana hoja.
Je, si kweli kwamba kulikuwa na haja gani kuwashinikiza Mawakili wagome huku mkijua ndio kwanza uchunguzi umeanza tena kabla report a awali ya Police haijstoka?

Mbona hujalalamikia tamko la Jaji kupinga huo mgomo?

Mlishindwa nini kutoa tamko la kulaani pekee bila kutangaza mgomo?

Kulipuliwa kwa ofisi hizo kunahusika vipi na kugomea kesi zinazoendelea nch nzima?

Mtatuambia nini iwapo itakuja thibitika walipuaji ni wadau wa Sheria tena members wa TLS?

Hapo no.12 mbona safari hii hawajahoji juu ya Accacia?
 
Hivi kesi yake ya utapeli iliishaje? Pingu zilirudishwa polisi au ......?
 
Acha kutuandikia upuuzi wewe kama anatumika vivyo hivyo na wewe unatumika huko. Aliyosema huyo unayemuita Mwandishi ana hoja.
Je, si kweli kwamba kulikuwa na haja gani kuwashinikiza Mawakili wagome huku mkijua ndio kwanza uchunguzi umeanza tena kabla report a awali ya Police haijstoka?

Mbona hujalalamikia tamko la Jaji kupinga huo mgomo?

Mlishindwa nini kutoa tamko la kulaani pekee bila kutangaza mgomo?

Kulipuliwa kwa ofisi hizo kunahusika vipi na kugomea kesi zinazoendelea nch nzima?

Mtatuambia nini iwapo itakuja thibitika walipuaji ni wadau wa Sheria tena members wa TLS?

Hapo no.12 mbona safari hii hawajahoji juu ya Accacia?
Acha kuwa mnafiki.Hilo Tamko ni la Lissu au TLS.
Vilaza katika ubora wenu.
 
Sababu:
1.Katika sakata la kulipuliwa kwa ofisi za IMMMA Advocates, Lissu anasimama kama mwanachama na kiongozi wa TLS na si mwanachama wa CHADEMA au mtu binafsi na kwa maana hiyo hawasilishi wala kusimamia maoni ya CHADEMA au ya Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni au maoni yake binafsi

2.Inatambulika Tundu Lissu kama kiongozi wa TLS anawakikisha mawazo na msimamo wa TLS na wala si msimamo au mawazo ya CHADEMA kuhusu IMMM Advocates aliyoyawakikisha Bungeni mwaka 2012(kinachofanywa na mpambe huyu na wengineo ni upotoshaji wa makusudi kwa malengo ya kisiasa).

3.Mawakili wa IMMMA Advocates ni wanachama halali wa TLS hivyo baraza la uongozi wa TLS linawajibika kuwasemea katika hili kama wanachama wake vinginevyo baraza lisingetenda haki kama ambayo linashutumiwa kukaa kimya walipouwawa baadhi ya mawakili.

4.Ni uendawazimu na chuki za wazi kabisa kuwalaumu viongozi wa TLS ya sasa kwa makosa yaliyofanywa na uongozi wa TLS uliyopita kwa kutowasemea mawakili walioa pata na majanga wakati huo(kina Mvungi na wengineo)

5.IMMA Advocates kuwatetea waliochota mabilioni ya EPA hakuhalalishi ofisi zao kulipuliwa na homu hivyo ni uendawazimu wa hali ya juu kutegemea TLS ikae kimya pale mawakili ambao ni wanachama wao wanapopatwa na majanga kama haya.

6.TLS haikutamka moja kwa moja kuwa ni Polisi ndio waliovamia na kulipua jengo la ofisi za IMMMA Advocates bali walisema kuwa wamepwa taarifa/wanazo taarifa kuwa watu walioonekana kuvalia nguo za Jeshi la Polisi ndio waliohusika kulipua ofisi hizo(katika matamshi yao sijawasiki wakitamka kuthibitisha kuwa nguo hizo kweli zilikuwa ni sare za Jeshi la Polisi).

7.Ni mara ngapi watu wanakamatwa kwa kuvaa nguo za Jeshi la Polisi au zinazofanana na Jeshi la Polisi ili hali wao si Polisi halali wa Jeshi la Polisi Tanzania?

8.Katika mazingira haya,kulitaka Jeshi la Polisi kuchunguza tukio hili kuna kasoro gani ili hali hakuna mahali baraza la uongozi wa TLS limewatuhumu Polisi moja kwa moja kuhusika na tukio hili?

9.Kama kweli TLS ilitamka wazi kuwa waliovamia ofisi za mawakili wa IMMMA na kuzilipua walikuwa ni Polisi,mbona hatujaona Jeshi la Polisi likiwakamata viongozi hao wa TLS kwa kuchafua Jeshi hilo?

10.Ni kwanini kijana huyu asikamatwe kwa kupotosha tamko la TLS na zaidi kwa kumchafua IGP na Jeshi analoliongoza?

11.IMMMA Advocates kutetea wezi wa EPA si ndio kazi yao kama mawakili?

12.CHADEMA kupitia Tundu Lissu kuhoji IMMMA Advocates kuwatetea wezi wa EPA Bungeni walifanya vile kwasababu IMMMA Advocates walikuwa ni mawakili au walikuwa na sababu zingine?

13.TLS wangekaa kimya baada ya tukio hili la ofisi za IMMMA Advocates kulipuliwa ili hali walishatangaza rasimi kuwa shambulio dhidi ya wakili mmoja ni shambulio kwa mawakili wote,mngeacha kulaumu uongozi wa TLS kwa kushindwa hata kukemea na kulaani tukio hili?

Acheni unafiki na kujipendekeza huku mkitumika kisiasa!!

Binafsi naona hata wewe unajipendekeza kwa CHADEMA....Maana post yako imeelemea upande mmoja mnoo..Kimsingi hata mimi napata shida now dayz kumtofautisha Tundu Lisu akisimama kama rais wa TLS na akisimama kama Mpinzani na mwanasheria wa CHADEMA..nna uhakika hata yeye anapata shida hiyo.
 
Ni kama vile wadau wanavyojiuliza kama aliyevunja mkataba hovyo hadi ndege yetu idakwe canada ashitakiwe kama alivyofanyiwa Mramba au aachwe kwa vile ana kinga ya urais ?
 
Back
Top Bottom