Ikifika hali kama hiyo hebu tu mtu ujitoe kwenye mapenzi ufanye mengine!Shosti kama ana akili ataachana nae ila kama king'ang'anizi itakuja kumcost
inawezekana kabisa.. ngoja nikaanze weekend fanya mchakato mdogo wanguHivi hatuwez anzisha campaign ya #KataaFreePu-)-)…"-!9℉mbu?"
Yaani huyu shost asipojielewa na hizi comments zetu atajuraaa
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Kweli mnanikomesha hapa najionea huruma tu masikin
Ngoja nifanye dada angu.. tuokoe wanawake wenzetu.. mi ningemuacha lakini..inawezekana kabisa.. ngoja nikaanze weekend fanya mchakato mdogo wangu
Afuu maskini Dada wa watu ana mtoto mdogo like 2yrs...huku ni kujilipua
Jamaa anachukulia poa, sasa wewe anza kumwambia best naona unipe assist kidogo naona bajeti yetu ya chakula imekuwa finyu si unajua kipato changu ni cha kuunga unga? Msikilizie akichomoa mtose tu maana ujue jamaa hata akikuowa ndio itakuwa tabia yake anatelezea ganda la ndizi mteremkoni kitonga. yani atakuwa hatoi kikamilifu pesa ya matumizi au huduma nyumbani na atakuwa napenda kuke marafiki hivyo hivyo nyumbani kwenu.nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Kweli kabisa mamiiIkifika hali kama hiyo hebu tu mtu ujitoe kwenye mapenzi ufanye mengine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si urudi Kigoma kwa bibi umbemende akili; akumwagie mafweza mamiii....Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.
Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana
Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.
Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
ndo umeamua kuja kunianika huku [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.
Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana
Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.
Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Mwone kwanza! Ndio maana ulifeli darasa la saba kwa kuwa kichwani mwako umefuga ujinga na upumbafu...acha upumbavu,wengine wana issue serious wanahitaji msaada serious.