Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Kuna vitu naviona.

1. Issue ya kuja kula kwako.

Kwanini kwako? Kwanini usiende kupika kwake? Umeshawahi kwenda kwake?

2. Inawezekana unajiproud sana, tofauti na uhalisia wa kipato chako. Kwa maana hiyo yeye anaona upo vizuri na huna shida.

3. Inawezekana huyo jamaa ni sawa na wale watu ambao mpaka "apigwe kichwani" ndiyo channel ikamate.

Design hii mpaka umwambie anunue vitu, ndiyo ataanza, lakini kwa sasa wala haoni kama anafanya kosa.

4. Majibu yako kwenye huu uzi hayana ule uzito wa shaba, wengi wanashindwa kukujibu inapasavyo.

5. Ifike pahala, mapenzi ya kinafik tuyaweke pembeni, kama una issue inakusumbua, iseme kwa mwenza wako, kwa upole wote.
 
I see, hivi kuna wanaume jasiri kiasi hiki?
 
Wew ni kwaajili ya kumpikia tuu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
🙂🙂 NO WAY OUT🙂🙂🙂 TELL HIM THE TRUTH AND WAIT THE RESULTS = TELL HIM AS YOU MAKE JOKE""""
 
mjini shule sio urefu wa maghorofa
 
Hamna mtu hapo, kwa umri wake si mtu wa kuanza kumuelekeza mambo madogo madogo kama hayo, litakapokuja swala la mimba si
ndio atapotea kabisa.
mwanaume akishakuzimia, hujibebesha majukumu bila hata kuambiwa.
Ndicho hicho nachokisema kila siku...

Huwa mwanaume akikupenda anajibebesha zigo hasa na hata hajali!

Wee ukiona hakujali tuu kula kona hakuna mapenzi hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaaah sijapata ona mwanaume bahili kama huyo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga yako mwanaume suruali! Inabidi utumie akili sana kushtukia!

Ukijiendekeza kama huyo mleta Uzi unachunwa mpaka senti ya mwisho na kuolewa huolewi,

Na ukithubutu kutegesha mimba ndo kabisa unakuwa lisingle mother la dunia![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…