Huyu mwanaume simuelewi

Sio kweli
Wenzio wanajua wenye uwaraza pesa ipo so najua competition ipo

Halafu wivu ninao sana manake nakuonaga unavyojibebisha kwa wengine lakini naamua kukuacha tu
Kwahio uwaraza=pesa!?
 
Hahahahah mie ni kama huyo anaelalamikiwa sema tofauti zetu ni kwamba mie lengo lazma niliseme on the 2nd date. Kisha nakuacha ujiongeze sasa.
2nd date mbona bado ni mapema eti?

1st date dinner lake duluti
2nd date kikwe kuhave fun
3rd date lunch city center kwenye beautiful restaurants
4th date dinner Gran Melia ama Tulia boutique then unaweza niambia ili nianze kujifikiria.

Hahaha what a night mare kwa mabaharia waandamizi.
 

Utamfilisi
 
Hapo ni 500k roughly spent halafu mwisho wa picha unaniambia eti ndio uanze kunifikiria ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!!?

Picha la kutisha kwa baharia. Nikijitahidi sana baada ya 3rd date lunch, ujue tutaelekea kwenye auditing ya vikojoleo bila wewe kuelewa.
 
Tatizo la wanawake wa kitanzania wako cheap intellectually dense, .....they can't offer you any thing valuable apart from sex, wanadhani kila mtu anapenda sex tu......
 
Tatizo la wanawake wa kitanzania wako cheap intellectually dense, .....they can't offer you any thing valuable apart from sex, wanadhani kila mtu anapenda sex tu......
I think its the best thing they can offer as part of appreciation! Maana zawadi ya maana kwa wengi ni boxer na body spray๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tatizo la wanawake wa kitanzania wako cheap intellectually dense, .....they can't offer you any thing valuable apart from sex, wanadhani kila mtu anapenda sex tu......

Wewe unapenda nini ndugu mjumbe?
 
[SUP]wanawake hamueleweki. Mkiombwa game mnasema wanaume wana haraka na mnakuja hapa kulalamika, msipoombwa mkichukuliwa easy ndo kama hivo. Kwa iyo lengo lako nini[/SUP]
 
Js jipe muda
Never make the first move when it comes to Men

Aliweza kuomba namba ashindwe kuomba mchezo?!
Let him do everything first ili u'prove kweli ana interest/he was not coerced into it
Tuttyfruity nawapenda wanaume wa dizain hiyo ambao papuchi kwao siyo kipaumbele.
Stick to that man dada acha ujinga ๐Ÿ˜† ama unapendelea wale washirika wa Rikiboy?

Gems ๐Ÿ’Ž๐Ÿ’Ž๐Ÿ’Ž
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ