Sisi wafupi wenye uwalaza mtatusaidiaje jamani??Translation
Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits
Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi
Tuttyfruity ningekuwa mie ningeendelea kumsubiri nione atamalizaje na mimi,kama aliomba namba huko kwengine ni suala la muda tu....kuwa mvumilivu
Sisi wafupi wenye uwalaza mtatusaidiaje jamani??
Anajiita pisi kali, anamuita mwanaume chalii.. Ni muhuni huyu.Una jiko kali sana Mkuu.Hata mimi sijamwelewa ni me au ke.Mpuzi sana huyo mleta uzi.Badala afanye kazi anatuletea habari za nyuchi nyuchi humu jamvini.
Anaumri ganiRaha ya mwanaume hata anivute vute alafu niwe nakataa sasa huyu zero. Story tu
Mada inatifundisha tununue magari
Anaumri gani
.wapi mkuu hujui one night stand alafu chapa ilaleAmekutamkia kuwa anakupenda? Tujue hilo kwanza
Sasa bro hili si jukwaa la Mapenzi nenda Huko siasani usinichoshe.Una jiko kali sana Mkuu.Hata mimi sijamwelewa ni me au ke.Mpuzi sana huyo mleta uzi.Badala afanye kazi anatuletea habari za nyuchi nyuchi humu jamvini.
Bora ya wewe unaweka wazi kabisa kuwa mgegedo ni muhimu. Ila tumia maujanjanya kike bana mpaka jamaa apagawe rahisi kabisa nendeni dancing shake that booty utaufeel tuu mgegedo wake brush against u.
Dancing is the vertical expression of the horizontal desire😜
Duh, doesn't make sense29 yrs
we mzinzi.
haya njoo unipige nipo kwetu.
Ndo yule uliyeruka ukuta kumfwata?
Translation
Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits
Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi
Tuttyfruity ningekuwa mie ningeendelea kumsubiri nione atamalizaje na mimi,kama aliomba namba huko kwengine ni suala la muda tu....kuwa mvumilivu
Niaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada.
Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu. He's TALL DARK BALD HAS A BEARD yani in short he's my type. Nilikua natoka jogging nimechoka nikamkuta kapaki mbele ya geti letu ikabidi nimuulize anamsubiri nani pale akanitajia jina la mtu simjui so I had to tell him huyo mtu haishi hapo. Sasa kama ilivyo ada mkikutana na pisi kali lazma muombe namba chalii akaomba buana mm sina hiyana likija kwenye swala la kutoa digits.
Tumechat tumeonana dates za hapa na pale. Juzi dada ake kanialika dinner nikaenda kula msosi ni mtu poa we had chemistry. Wapo wawili tu wazazi wao walishafariki kitambo.
Sasa tatizo nililolileta kwenu huyu chalii ndani ya wiki zote 4 dates zote kaspend pesa nyingi hajawahi hata kunishika mkono achilia mbali kunikiss. I'm trying to go with the flow lakini ustaarabu karibu unanishinda.
Hivi wadau huyu mtu ni muoga, hajavutiwa na mimi au sio riziki? nashindwa kumuelewa kabisa. Ukizingatia sisi sio under 18.
Mnanishauri nifanye nini should I make the first move au niwe cool?
Anyways atakaeniita mzinifu nampiga. Comment za kijumbe sitaki.
Asubuhi njema Watanzania wenzangu.