Huyu mwanaume simuelewi

Embu niachie digits bila kusahau Mimi ni mdogo wake gwajimaa
🤣🤣😂😂
 
Umenichekesha sana. Kwann kwetu na sio lodge, hotel au kwake?

Wewe mtoto wa mama sana lodge yenyewe sijuiiii km unaendaga

Plus kwenu sababu wewe ndo unapanga mkakati wa kumla[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daah huyo ana matatizo, ingekuwa ni mimi ungeleta malalamiko humu kuwa nimeku dry mate kitambo[emoji28]
 
Wanawake wa Leo akiombwa namba na mwanaume akili yake yote ni mapenzi
 
Kuna vitu vinatokea watu wengine sisi havitukuti yani

ningekua mimi huyo mkaka nakwambia wee,ungependa.
 
sometimes unaweza tamani mtu awe mpenzi wako ukampenda ile day 1 tu

ila mnayoanza wasiliana unagundua vitu flani flani vinakukinaisha,unaghairi kila kitu

ila kwakua tyr mmeshakua marafiki anakua hana budi kuendeleza urafiki maana si aliutaka mwenyewe.
 
Ningekushauri ila iko katika mfumo wa comment za kijumbe,hata hivyo muda utaongea hao wakishua miksa mambo safi huwa madomo zege na ustaarabu uliopitiliza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…