Kanipa mimba hataki kueleweka, katoa mahali nyumbani harusi ilikua mwezi wa 5 tangu nimemwambia ninamimba anarusha miezi mara wa 7 mara wa 10 sasa kasema mwaka kesho, wazazi wa pande mbili hataki wajue kama ninamimba mimi naishi kwangu wanza nlikua nafanya kazi sasa nimeachishwa sababu ya kuumwa umwa kutokana na ujauzito ananiambia nikae hukuhuku nyumbani wasijue chochote mpaka nijifungue ndo mipango ya harusi iendelee,sasa nishaurini nitakaaje huku sina ndugu sina kazi nitaishije na huu ujauzito kumbuka ni mimba ya kwanza nikipata matatizo hakuna wa kunisaidia na yeye yupo arusha,nifanyeje?
What????
Na bado una mpango wa kuolewa nae?
Nenda kwa wazazi wako bint,umekosa lakini watakusamehe tu.
Kalee mimba hiyo ukijifungua lea mtoto wako,huyo mwanaume hafai kuwa mume.
Anakushauri umeze dawa anajua effects zake? Kama hamkuwa tayari kuzaa kwa nini hamkutumia kinga? Au alijua sperm zake ni lotion zitakung'arisha ngozi tu?
Nawe ndio ujifunze sasa,sio aliyeleta posa tu hata kama amekuoa mwanaume usimuamini kwa 100%
Mkuu haja Olewa! !! Alikuwa waoane ila jamaa anarusha tarehe.
Kuhusu kufukuzwa kazi inategemea na boss. .Kuna kazi nyingine zinahitaji mtu active 24hrs sasa ukute huyu kila siku mgonjwa. .sio kama kazi nyingine hawaitaji active member no inategemea.
Don't judge. Kuhamia kwa jamaa bila ridhaa hata ya shingo upande ni ngumu. So in short she has first to tell his and her people.
mh story yake kama inarelate na uzi niliuleta hum jamaa alinishauri nitoe mimba tho nilimdanganya nijue mustand wake... na hivi karibun alisika wenzie akisema dem wake anamimba then yupo arusha... mh. bt anyways napta tu.
don't abort mama
Kanipa mimba hataki kueleweka, katoa mahali nyumbani harusi ilikua mwezi wa 5 tangu nimemwambia ninamimba anarusha miezi mara wa 7 mara wa 10 sasa kasema mwaka kesho, wazazi wa pande mbili hataki wajue kama ninamimba mimi naishi kwangu wanza nlikua nafanya kazi sasa nimeachishwa sababu ya kuumwa umwa kutokana na ujauzito ananiambia nikae hukuhuku nyumbani wasijue chochote mpaka nijifungue ndo mipango ya harusi iendelee,sasa nishaurini nitakaaje huku sina ndugu sina kazi nitaishije na huu ujauzito kumbuka ni mimba ya kwanza nikipata matatizo hakuna wa kunisaidia na yeye yupo arusha,nifanyeje?
Mamaa changamka. Utapigwa chini muda si mrefu.....funga safari nenda Arusha. Lakini pia waambie ndugu/wazazi wako na wake pia wajue una mimba. Ukichelewa kidogo tu utashaa.
Ukikuta manyoya ujue keshaliwa