Huyu mwanaume jamani!

Huyu mwanaume jamani!

jack 1, wazazi wenu wa pande mbili ndio moderators wenu, jua hilo mapema kabisa!

jambo la kufanya ni ku-report abuse tu kutokana na unachofanyiwa na huyo jamaa!

ona sasa umeachishwa kazi, je, utageuza mawe kuwa mkate?
 
Last edited by a moderator:
Hilo swala dingi kuwa askofu kisingizio tu
huenda huko Arusha anaishi na mtu mwingine nae ana mimba kama wewe
 
kanipa mimba hataki kueleweka, katoa mahali nyumban harusi ilikua mwez wa 5tangu nimemwambia ninamimba anarusha miez mara wa 7 mara wa 10 sasa kasema mwaka kesho...., wazazi wa pande mbili hataki wajue kama ninamimba mm naishi kwangu mwanza nlikua nafanya kazi sasa nimeachishwa sababu ya kuumwa umwa kutokana na ujauzito ananiambia nikae hukuhuku nyumbani wasijue chochote mpaka nijifungue ndo mipango ya harusi iendelee... sasa nishaulini nitakaaje huku sina ndugu sina kazi nitaishije na huu ujauzito kumbuka ni mimba ya kwanza nikipata matatizo hakuna wa kunisaidia na yeye yupo arusha...nifanyeje?

Binti yoyote atakaeona hiki ninachokiandika naomba azingatie haya

1;Usikubali kubeba ujauzito kabla ya kuingia ndoani na mwanaume yoyote yule
2;Epuka kumuamini mtu yoyte yule kirahisi rahisi kwenye suala hili la mahusiano hata kama ni mimi

Nirudi kwa mtoa mada
Cha kufanya wajulishe ndugu zako ili hata kama ukipata tatizo upate msaada na huyo jamaa kama akiamua kusitisha mahusiano na asitishe kwani nini bana?

Ila huyo jamaa nina wasiwasi nae kama kuna kitakachoendelea hapo!
 
Heheheheee sjui kwa nini mawazo yamenijia huyu atakuwa Mentor heheheee Mentor nisamehe bure sina kitu nawe ni mawazo tuu yamenijia......

Aiseee nitake radhi kabisaaaaaa....na hivi nipo Arusha unajua wifi yako (yupo humu jeiefu) anaweza kufunga safari kuja kuhakikisha huenda hii stori inanihusu!!!
 
Aiseee nitake radhi kabisaaaaaa....na hivi nipo Arusha unajua wifi yako (yupo humu jeiefu) anaweza kufunga safari kuja kuhakikisha huenda hii stori inanihusu!!!

Hehehehee nilishakutaka radhi kabla nikisema sina neno nawe ni mawazo tuu. Wifi popote ulipo humu jf uwe na amani nimefuta mawazo yaliyonijia na usemi nilioandika. Nisamehe mie usimnunie mentor.
Mie hata sikujua kama uko arusha nimeotea tuu.....
Sorry by ze wei
 
Pole sana binti,huyo jamaa ni kitendawili. Wewe wajulishe ndugu zako hali halisi mana hao ndo msaada wako wakaribu na wana uchungu nawewe. Anza kuondoa moyo wako kwa huyo jamaa kwakua ameshaanza mizinguo kwakitu serious kama hilo
 
kanipa mimba hataki kueleweka, katoa mahali nyumban harusi ilikua mwez wa 5tangu nimemwambia ninamimba anarusha miez mara wa 7 mara wa 10 sasa kasema mwaka kesho...., wazazi wa pande mbili hataki wajue kama ninamimba mm naishi kwangu mwanza nlikua nafanya kazi sasa nimeachishwa sababu ya kuumwa umwa kutokana na ujauzito ananiambia nikae hukuhuku nyumbani wasijue chochote mpaka nijifungue ndo mipango ya harusi iendelee... sasa nishaulini nitakaaje huku sina ndugu sina kazi nitaishije na huu ujauzito kumbuka ni mimba ya kwanza nikipata matatizo hakuna wa kunisaidia na yeye yupo arusha...nifanyeje?
nipo mwanza pia mkuu,tuwasiliane nije kukushauri
 
Hehehehee nilishakutaka radhi kabla nikisema sina neno nawe ni mawazo tuu. Wifi popote ulipo humu jf uwe na amani nimefuta mawazo yaliyonijia na usemi nilioandika. Nisamehe mie usimnunie mentor.
Mie hata sikujua kama uko arusha nimeotea tuu.....
Sorry by ze wei

Nimekusamehe bure...huyo kaka ni mbulula kamwe usinifananishe naye tena. Na huyu dada naye sijui ni umri au ushamba wa mapenzi ila naye simwelewi.

Ni kweli kama mimi sasa hivi (ingawa baba yangu ni mzee tu wa usharika) nitajisikia vibaya (na hata kupata aibu ya kuwaeleza wazazi) endapo nitampa binti mimba.

Lakini mwanaume wakati kama huu unatakiwa usimame na kuuonesha uanaune wako. Ni kweli mmefanya kinyume na mapenzi ya Mungu (maana hata msingepeana mimba mmeshakuwa mkizini..unless na wazazi mliwadanganya ninyi ni bikra..lol) lakini haimaanishi mfiche hali serious kama hiyo.

Napatwa na mawazo mawilimawili juu ya hili. Ningependa sana kujua umri wa hawa watu. I think wana utoto mwingi akilini mwao.

Lakini pia huyu kijana anaweza kuwa na jambo analolificha.

Huyu binti naye huenda kuna jambo hatuambii...hiyo mimba hiyo...aliplan mwenyewe...ilitokea kwa kukosea tu kuhesabu tarehe au!??

Too many qns and too little details nashindwa kutoa ushauri constructive...
 
Nakushauri umsikilize mwenzio....tuko kwenye mchakato wa kura ya siri so kila kitu fanyeni siri kwa maana hata mimba mlipeana kwa siri
 
Na hayo mawazo ulionayo tu si salama kwa ujauzito wako ...relaxxx
 
Uwahi arusha fasta ..kama huna nauli sema tukuchangie
 
tarehe alipanga nwez wa tano baadae wazazi waksema hawana hela wajipange mpaka wa saba sasa yeye anasema itakua aibu sana sababu huo mwez wa saba tayar mimba itakua inamiezi 7 kwa hiyo itajulikana na kwao baba yake ni Askofu hivyo kukwepa aibu.

Ndio wewe uliambiwa utoe mimba? Kuna Uzi uliletwa humu maelezo yake yanaendana na haya . siwezi kuretrieve ule Uzi.
 
waambie nduguzo hali yako na kisha nenda arusha...

anaonekana hayuko siriaz na wewe

halafu ukute yumo humu jf anatoa ushauri pia

Nimecheka sana hapo pa kuwa yumo humu humu jf anatoa ushauri pia. Jf bwana, ni zaidi ya tunavyofahamiana!
 
Dada yangu kama kuna mwanaume ulimtenda,basi huenda hayo ndio malipo yako.

Unyama wa mapenzi hufanywa na jinsia zote.

Ila,kama hukuwahi kumtendea mtu ubaya,basi mateso unayoyapata ipo siku nae atayapata tu.

Jamani,malipo ni hapa hapa duniani.
 
ah...wewe hamna kitu kabisa,yaani unaichia mpaka imeingia?
 
Back
Top Bottom