Huyu mwanaume jamani!

Huyu mwanaume jamani!

Ndio wewe uliambiwa utoe mimba? Kuna Uzi uliletwa humu maelezo yake yanaendana na haya . siwezi kuretrieve ule Uzi.

Sijui lakini mm cjawai kuleta uzi zaidi ya huu unaohusiana na hili lakin tumekuwa tukigombana sana ananiambia nitoe mimba na leo asubuhi kanitumia ujumbe nimeze MICOPHEN-M-KIT mi nikamuambia siwezi wala sitarajii kutoa mimba kaniambia basi hana jinsi ya kunisaidia nitajua mwenyewe sababu nambishia anachotaka
 
Huo ndio utiifu au?
Huna kazi kwa sasa kwa nini usiende huko Arusha aliko then uongee naye achague kukuhudumia mkiwa under one roof mpaka ujifungue au akupeleke kwa wazazi wako mpaka ujifungue!!!!
Acha kucheza na maisha yako bint,uzazi wa siku hizi una complications sana.
 
samahani kidogo swali langu ni je unajipenda?
 
Huo ndio utiifu au?
Huna kazi kwa sasa kwa nini usiende huko Arusha aliko then uongee naye achague kukuhudumia mkiwa under one roof mpaka ujifungue au akupeleke kwa wazazi wako mpaka ujifungue!!!!
Acha kucheza na maisha yako bint,uzazi wa siku hizi una complications sana.

Sasa nitaendaje wakati kaniambia nisipotoa mimba hana cha kunisaidia na kwa sasa hata msg zangu hajibu hata cm hapokei...ananiuliza umeshameza dawa
 
Sasa nitaendaje wakati kaniambia nisipotoa mimba hana cha kunisaidia na kwa sasa hata msg zangu hajibu hata cm hapokei...ananiuliza umeshameza dawa

What????
Na bado una mpango wa kuolewa nae?
Nenda kwa wazazi wako bint,umekosa lakini watakusamehe tu.
Kalee mimba hiyo ukijifungua lea mtoto wako,huyo mwanaume hafai kuwa mume.
Anakushauri umeze dawa anajua effects zake? Kama hamkuwa tayari kuzaa kwa nini hamkutumia kinga? Au alijua sperm zake ni lotion zitakung'arisha ngozi tu?
Nawe ndio ujifunze sasa,sio aliyeleta posa tu hata kama amekuoa mwanaume usimuamini kwa 100%
 
Hili si suruhisho wanaume wote wanafanana, cha kufanya avumilie tu kama bibi yako alivyo mvumilia babu yako.
 
Hili si suruhisho wanaume wote wanafanana, cha kufanya avumilie tu kama bibi yako alivyo mvumilia babu yako.

Avumilie??
Yaani mtu amempa mimba then msaada wake ni msg ya dawa za kumeza ili itoke,yeye yuko mbali ila anamwambia bint asiende hata kwa wazazi wake! Avumilie tu!!!
Basi uvumilivu ni kipaji na si kila mtu alipewa!!!!
 
Pole sana bibie ila nikupeyako plus huyo coward guy wako..asijiachie kulipiwa mahari sio kijiachia kiivyohawa viumbe ni wazito inabidi ufanye kazi ya ziada cos hii imekaa mkao wa churahatujui plan zake

First ongea na shangzio bidada au yoyote unayehisi ana ushauri mzuri mweleze inn n out kuwa una ujauzitoyeye atawaeleza wazazi wako plus wazazi wa guy kama ndoa ifungwe or jamaa asemetatizo nini.yawezekana jamaa anataka kukuacha kitendo cha yeye kukutaka usisemekuwa makini waambie mapema hakawii kusema mimba si yake.
Take action usikae kimyawaambie mapema onana na ndugu zake hasa wazazi wajue khali yako
 
Sasa nitaendaje wakati kaniambia nisipotoa mimba hana cha kunisaidia na kwa sasa hata msg zangu hajibu hata cm hapokei...ananiuliza umeshameza dawa

huyo mwanaume hakufai my dia analake jambo! Kama uchumba wenu unajulikana na mahari tayari kwanini akuambie hivyo?mmmh usijetoa hiyo mimba aisee! Zungumza na mzazi wako wa kike ningekuwa miye na uchumba navunja aaagh!!
 
Jitambue binti na kuwa na msimamo usikubali kuyumbishwa na mtu asiyejua thamani yako!!
 
Wajulishe wazazi ukweli, mwanaume anaweza kukukataa lakini wazazi hawawezi.

Na ni wazi unaonesha hakuhudumii.
Husikubaliane na matakwa yake.
 
mhhhhh, wamasai huwa wanasema 'imekula kwa ndung'anyi'
 
halafu Mimba sio kitu rahisi hivo inahitaji support kutoka kwa

watu wa karibu your family sasa ye anakwambia kaa kimya

sio kila unaloambia usikilize ni maisha yako and your the one who is responsible
 
Sijui lakini mm cjawai kuleta uzi zaidi ya huu unaohusiana na hili lakin tumekuwa tukigombana sana ananiambia nitoe mimba na leo asubuhi kanitumia ujumbe nimeze MICOPHEN-M-KIT mi nikamuambia siwezi wala sitarajii kutoa mimba kaniambia basi hana jinsi ya kunisaidia nitajua mwenyewe sababu nambishia anachotaka

Pole sana dia simamia msimamo wako rudi nyumbani waeleze wazazi hali yako, hao ni wazazi wako tu hawawezi kukutenga, usimfikirie huyo mwanaume utazidi kujiumiza, mtoto akishazaliwa anapendwa na kila mtu vumilia usijaribu hata kufikiria kuitoa, utajuta mana utamkosa huyo mwanaume na mtoto utamkosa pia
 
Tofautisha kuoa na harusi.! Yawezekana huyu Dada ni wale ving'ang'anizi wa harusi ndo maana Jamaa katupiemo kitenesi. Huyu ameshaolewa na mahali kwao wameahakula, sioni anachosubiri kuhamia kwa Jamaa na mimba ameshapewa. Aafu bado kuna kazi unafukuzwa ukiwa mgonjwa?? Yawezekana huyu Dada ndio wale vijana wa kibongo typical! Story nyingi, ruhusa kila siku production zero. Kama ni hard worker hakuna bosi atakufukuza kisa mimba inakusumbua!!!
Mkuu haja Olewa! !! Alikuwa waoane ila jamaa anarusha tarehe.

Kuhusu kufukuzwa kazi inategemea na boss. .Kuna kazi nyingine zinahitaji mtu active 24hrs sasa ukute huyu kila siku mgonjwa. .sio kama kazi nyingine hawaitaji active member no inategemea.
Don't judge. Kuhamia kwa jamaa bila ridhaa hata ya shingo upande ni ngumu. So in short she has first to tell his and her people.
 
Back
Top Bottom