Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
mahari sio kifo kwamba hakirudi
Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?
Hao wanawake amekuwa nao kwasababu ya gap ya wewe kuwa mbali. Msiwe mnatuhukumu bila resoning. Wala usimlaumu hamia kwake halafu mwambie ukweli kwamba unajua yote ila ajitune sasa kuwa ni baba na alichokuwa akitafuta nje sasa kipo ndani full time. Ila wewe sasa uongeze ubunifu wa huduma ndani ili mwenzio aridhike na afute wengine akilini. Siyo unanukia mikojo ya mtoto hujui kujisafisha, unahoji mambo kama polisi na mtuhumiwa ukitegemea kufurahia ndoa. Kuwa mvumilivu ndoa inajengwa siyo automatic.
Kweli CCM ni janga la kitafa
mkuu mshana jr kukaa miaka miaka mitano sio hoja pengine walianzia form 3.
endelea tu kakaa kwenu, nigekuwa mimi kaka yako lazma nigekugegeda.
Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?
Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. ..kibaya zaidi anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja.
mwanaume huwa habadiliki maisha yake yote.. alivyo leo ndivyo atakavyokua siku zooote labda apate UKIMWI ndo akili itamsogea. kiukweli kosa la kuchepuka halafu nikajua halina msamaha kwangu.. we ukichepuka nikajua pita hiviiiii na usinijue. jufunze kuwa na msimamo binti
Hebu nisaidie kumuelimisha mwanamke mwenzio...yaani michepuko...then bado anaomba ushauri....nadhani anatumia matiti kufikiri
Maana hiliihitaji wala degree kujua ujinga ulionao...
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nakushauri ndugu yangu kuwa,, naomba busara na hekima vikutawale kuliko kitu kingine chochote. itakusaidia sana.
endelea tu kakaa kwenu, nigekuwa mimi kaka yako lazma nigekugegeda.
wiseboy jukwaa lina mengi na kuna mengi hatuyafahamu inawezekana kabisa Shy land kapotoka mahali nasubiri aseme lolote la sivyo tutachukulia amemaanisha alichokisemaShyland you deserve a life ban,binti wa watu anaomba counselling kwa tatizo kubwa alilonalo wewe unaleta dharau hapa eti ungekuwa kaka yake ungemgegeda,kivipi? this shows that, hata dada zako umeshawagegeda wote,mi nilidhani una hekima kumbe hovyo,ndo ushamba wenu wasukuma nilisema.
mwenzio ana mahaba nigaragaze unadhani atanielewa kweli mkuu???