Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,367
- 108,524
Hao wanawake amekuwa nao kwasababu ya gap ya wewe kuwa mbali...
umeandika mwanamke au wanawake??
Hao wanawake amekuwa nao kwasababu ya gap ya wewe kuwa mbali...
Michepuko 6? Na wewe wa 7? Na hao sita ndio umepata kismati cha kuwafahamu duh!! Kama kwako hakuwa anatumia condom hadi umenasa vp huko kwingine? Tunasafari ndefu sana ya kupambana na ngoma. Em kapime kwanza.
Mkuu ngoja nijiaminishe kuwa umeandika hivi ukiwa umelewa au una usingizi....
Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?
endelea tu kakaa kwenu, nigekuwa mimi kaka yako lazma nigekugegeda.
Wanawake akili zenu sijui mmeshikiwa na nani!!!!!
Miaka 5 janaume malayaaaaaa bado umo tu??? Unajifariji ukikaa nae atatulia???? Kweli???
Wanawake akili zenu sijui mmeshikiwa na nani!!!!!
Miaka 5 janaume malayaaaaaa bado umo tu??? Unajifariji ukikaa nae atatulia???? Kweli???
endelea tu kakaa kwenu, nigekuwa mimi kaka yako lazma nigekugegeda.
Eeeh...we vipi cjakuelewa
Maswali kwako
una miaka mingapi?
na yeye ana miaka mingapi?
mlikutana wapi?
tuanzie na hapo kwanza? maana isije mwanaume mwenyewe ana miaka 21
Ama kweli nyani haouni kundule,
wewe pumba zako huzioni.
Hao wanawake amekuwa nao kwasababu ya gap ya wewe kuwa mbali. Msiwe mnatuhukumu bila resoning. Wala usimlaumu hamia kwake halafu mwambie ukweli kwamba unajua yote ila ajitune sasa kuwa ni baba na alichokuwa akitafuta nje sasa kipo ndani full time. Ila wewe sasa uongeze ubunifu wa huduma ndani ili mwenzio aridhike na afute wengine akilini. Siyo unanukia mikojo ya mtoto hujui kujisafisha, unahoji mambo kama polisi na mtuhumiwa ukitegemea kufurahia ndoa. Kuwa mvumilivu ndoa inajengwa siyo automatic.
usimshauri mtu kwakuwa tu wewe niwa jinsia moja na huyo anayechepuka!. hata kama huyo dada angekuwaa sayari nyingine ndo awe na michepuko sita wewe dada kama unataka kufa na presha+ukimwi olewa sio lazima uolewe tu kwakuwa una mimba yake.
mchepuko mmoja haujamridhisha wewe ndo utaweza. kuna tabia akiwa nazo mwanaume huwezi mbadilisha kama ulevi,umalaya n.k