Huyu mwanaume ananipenda kweli?

Kwani ulimuuzia so inakuuma kaondoka hajakulipa chako au?

Je, unavyotaka akupe pesa na wewe unampaga zako au na wewe unapenda uteam Matonya!?

Ujue wadada msipende kuendekeza njaa sana ndiyo maana wengi wenu mnaishia kumegwa na kuachwa
 
Kwani ukikataa kufanya ngono kuna tatizo? Tatizo mnapenda kujirahisisha na kuhisi kuwa mwanaume ukimpa papuchi ndio utamdhibiti, msifanye hivyo then kutoa papuchi kwa kutegemea kitu ni ukahaba, je walijua hilo? Jifunzenu kwa wenzenu ndoa ni kitu cha heshima buana, na mwanaume akisha kuonja tu basi ujue hapo ndio kwaheri. BTW kama hamkuandikishana sehemu kuwa baada ya mgegedo akupe hela ya supu sio kosa ila huyu kiukweli hakufai, Anapita tu![emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
 
ETI KUNYWA SUPU NZITO, POLE DADA.

ILA NINA SWALI, HV WADADA MKITOKA KUFANYA MAPENZ MSIPOPEWA HELA MBNA MNANUNA, INATOKA NA NINI?
 
Mhm ungemwambia sina hela ya supu akurushie
 
Supu nzito[emoji15] bila hela
 
Asante yk
 
Kama unauza we sema,Mwambie ila usisahau kumpa risiti ya EFD.
Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa lako.
 
Mimi dem wangu huwa haniombi pesa ovyo., lakin siwezi mruhusu aje geto kama sina pesa,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…