Huyu Mwanaume ana Two Personalities

Nothing. Hata wewe una online personality and your real world personality ukubali au usikubali. I am talkin

Hizo observations ni purely subjective, in fact kwa vigezo ulivyotumia, hata wewe una online personality and your real world personality ukubali au usikubali.

Kuhusu uwepo wa majini, hayo yapo kwenye himaya (realm) ya waumini wa Uislamu tu kama kitabu chenu kinavyowafundisha.
 
Kumbe ulikua unanichora tu nilivyokua nakula ile mikuku pale. Nawewe nimekujua. Kumbe unafunga mbona kuna wakati unaandika mambo ya feni mbovu aka Gwajima?
 
Mimi mwenyewe ukisoma ninayoyaandika humu na ukikutana nami utashangaa.

JF ni kama socail media zingine tu. Mtu anakuonesha kile ambacho anataka wewe uone.
 
Kweli kabisa kakaa angu... Watu wapo tofauti sana. Unaweza kukukuta wengine ni mawaziri, masheikh na wachungaji humu ndani. Ukija kugundua zero IQ ni kiongozi wa dini utashangaa sana.
Siku ukikutana na rass jeff kapita na ukabaina hana rasta/dredi... but ana upara kichwa chote unan'gaa kama kioo...ndio utabaina kwamba JF kuna majini sio watu....!
 
mimi humu ndani ni mbishi haswa

Ila nje mtu hata akiniambia 1+1=8

Namwambia you are absolutely right
Kubishana au kuongea live live yataka moyo wa ujasiri...Humu mtu unaandika chochote nipo peke angu namuogopa nani?

Ila tutakapokuatana sasa ndio hapoo shida inapoanzia..
 
Nothing. Hata wewe una online personality and your real world personality ukubali au usikubali. I am talkin

Hizo observations ni purely subjective, in fact kwa vigezo ulivyotumia, hata wewe una online personality and your real world personality ukubali au usikubali. Kuhusu uwepo wa majini, hayo yapo kwenye himaya (realm) ya waumini wa Uislamu tu kama kitabu chenu kinavyowafundisha.

Kama yapo katika himaya ya kislamu mbona wanao kwenda ni wengi makafiri wana majini mapepo kwa wachungaji na manabii wa made in china ili watolewe mapepo ( hao nao ni waislamu)
 
Mimi mwenyewe ukisoma ninayoyaandika humu na ukikutana nami utashangaa.

JF ni kama socail media zingine tu. Mtu anakuonesha kile ambacho anataka wewe uone.
Sawa kabisa unaweza kukuta humu unaandika vitu vyenye akili hatari...but huko nje ukawa mjinga mjinga tu.... yote yanawezekana....
 
kubishana au kuongea live live yataka moyo wa ujasiri...Humu mtu unaandika chochote nipo peke angu namuogopa nani?

Ila tutakapokuatana sasa ndio hapoo shida inapoanzia..
By nature mi ni mpole na introvert

Siwez kukaa kwenye kikundi cha watu zaidi ya watano

Nikapiga nao story yaan naogopaga sana ubishi
 
Dont judge the book by look its cover
Personality ya mtu huwezi kuidefine kwa hisia zako binafsi, ndio maana ulivyoandika nataka rafiki awe sijui kama nani sijui kama nani ndio maana ulishambuliwa sana.
 
Watu huwa tofauti kutokana na mazingira mfano bashite akiwa kwenye media anaongea kijeuri lakini ukikutana nae ana kwa ana anaficha uso na viganja kwa aibu huku aking'ata kucha na kuchumachuma majani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom