Huyu mwanasiasa hii pesa anatoa wapi?

Huyu mwanasiasa hii pesa anatoa wapi?

Ameshakuwa juu, hizi nyimbo huku ni kumuongezea nguvu ya umaarufu tu.

ANGALIA: Ukitaka usifuatiliwe kwenye mitandao ya kijamii usipende kuposti mara kwa mara na ukitaka ujulikane kila baada ya one hour weka kitu.
 
Usijali kuhusu huyo jamaa! Kesi ya Money Laundering file lake linamsubiri, asijidanganye kisa ANATOA mtandao pendwa akadhani Ni Immunity!
 
Hana hata miaka mitano kwenye mainstream politics. Hakuna biashara yeyote anayofahamika kufanya. Mshahara wake ndani ya hii miaka mitano hauwezi nunua hata moja ya magari ya kifahari anayo miliki. Kutwa anagawa pesa kama zawadi. Hapo jana tu amegawa mamilioni ya pesa kwa timu ya mpira. Anaandaa buffet za bei ghali sana na mikato pia ndani ya kumbi za bei ghali sana (Mlimani City). Ila cha kushangaza hakuna anejua chanzo cha pesa ya huyu jamaa!!!!!!
Kuna biashara kubwa sana sasa hivi kwenye mifuko mbadala, ukumbuke pia biashara ya unga wameichukua wao, wale wauzaji wa zamani wanewekwa ndani na wengine wamepigwa mkwara waache hiyo biashara.
Mkuu ukumbuke watu huingia kwenye siasa ili wapate fursa ya kufanya biashara.
Ukiwa kwenye power hata ujambazi wa benki unafanya bila kupata madhara makubwa.
 
Usichanganye maneno hapa.
Mwizi unamuita mwanasiasa.
Mwizi ni mwizi tu
 
Achana naye mkuu..jali yako
Ni kiongozi lazma ajadiliwe, tusipomjadili kwa mienendo yake..., Tunazaa taifa la watu wasio na uwezo wa kuhoji...

Ofisi ya RAS haina pesa ya kufanya haya yote anayofanya yeye hata siku moja, maana hata mafuta ya gari Mara nyingi budget haitoshi gari huwa zinahudumiwa na mkurugenzi wa jiji,..yeye anapata wapi hizi pesa?
 
Kwa Seikali hii unadhan kun mtu arKussikiliza mkuu??bora ya Jk
 
Alishasema kuwa msimlinganishe nae,amewazidi vitu vingi sana.
Jamaa ni Don haswa,MTU unatembelea infinite qx80 gari Kali kuliko hata LA rais
 
nanukuu "mheshmiwa Spika msiniundie kamati kunihoji hizi pesa natoa wapi,, pesa zote zilizopo humu ndani ni zangu,, mimi sina pesa ila wananchi wana pesa,,'' mwisho wa kunukuu
 
Hana hata miaka mitano kwenye mainstream politics. Hakuna biashara yeyote anayofahamika kufanya. Mshahara wake ndani ya hii miaka mitano hauwezi nunua hata moja ya magari ya kifahari anayo miliki. Kutwa anagawa pesa kama zawadi. Hapo jana tu amegawa mamilioni ya pesa kwa timu ya mpira. Anaandaa buffet za bei ghali sana na mikato pia ndani ya kumbi za bei ghali sana (Mlimani City). Ila cha kushangaza hakuna anejua chanzo cha pesa ya huyu jamaa!!!!!!
Ni wivu
 
Back
Top Bottom