Huyu mwanasiasa hii pesa anatoa wapi?

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,636
Hana hata miaka mitano kwenye mainstream politics. Hakuna biashara yeyote anayofahamika kufanya. Mshahara wake ndani ya hii miaka mitano hauwezi nunua hata moja ya magari ya kifahari anayo miliki. Kutwa anagawa pesa kama zawadi. Hapo jana tu amegawa mamilioni ya pesa kwa timu ya mpira. Anaandaa buffet za bei ghali sana na mikato pia ndani ya kumbi za bei ghali sana (Mlimani City). Ila cha kushangaza hakuna anejua chanzo cha pesa ya huyu jamaa!!!!!!
 
Nyiye ndio mnawafanya watu wasitoe misaada kwa kuogopa kuchunguzwa alikopata. Nadhani mwizi mzuri ni yule anayekula pamoja na jumuiya. kuliko kwenda kuzificha ughaibuni huko Jessey Island kama kina Joka la makengeza
 
Hana hata miaka mitano kwenye mainstream politics. Hakuna biashara yeyote anayofahamika kufanya. Mshahara wake ndani ya hii miaka mitano hauwezi nunua hata moja ya magari ya kifahari anayo miliki. Kutwa anagawa pesa kama zawadi. Hapo jana tu amegawa mamilioni ya pesa kwa timu ya mpira. Anaandaa buffet za bei ghali sana na mikato pia ndani ya kumbi za bei ghali sana (Mlimani City). Ila cha kushangaza hakuna anejua chanzo cha pesa ya huyu jamaa!!!!!!
Huyo ni wakala wa ufisadi wa boss wake, usishangae sana
 
Hana hata miaka mitano kwenye mainstream politics. Hakuna biashara yeyote anayofahamika kufanya. Mshahara wake ndani ya hii miaka mitano hauwezi nunua hata moja ya magari ya kifahari anayo miliki. Kutwa anagawa pesa kama zawadi. Hapo jana tu amegawa mamilioni ya pesa kwa timu ya mpira. Anaandaa buffet za bei ghali sana na mikato pia ndani ya kumbi za bei ghali sana (Mlimani City). Ila cha kushangaza hakuna anejua chanzo cha pesa ya huyu jamaa!!!!!!
Mkuu twende tukalime tu mahindi yana soko Zimbabwe...
Mambo ya "danganyika" ukiyawaza sana waweza pata homa
 
Back
Top Bottom