Huyu mwanamke sina hisia nae kabisaa japo ananipenda sana

Tatizo lenu mnapenda sana pesa ndo maana tunawakimbia
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa ahaaaa.nimecheka kwa herufi kubwa.
Malipo ni hapa hapa duniani mnatutelekeza afrika Siku zinapita tukiwasubiri, Mara kwa mbwembwe tunasikia mmekuja na mzungu, tunasononeka kwa kupoteza muda tumewasubiri, kisa tu wawaone na nyie MNA wazungu kumbe mnateseka hivyo?
Hivi Mungu upo na unalipa??

Oh sorry nilikuwa naota samahani haiwezi nitokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.

Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.

Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.

Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.

Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili
Dah broo una roho mbaya kama ni kibonge mbona ni jambo raisi embu ongea naye aanze diet na mazoezi na umueleze shida unayopata kuusu unene wake ikiwezekana fanya naye mazoezi ajisikie vizuri kiakili na itaongeza hisia zako kwake.

Kumbuka kunakuowa na mwanamke ni raisi kunenepa ndani ya nyumba vp naye utamuacha embu acha kuwa mbinafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom