Huyu mwanamke simwelewi

Huyu mwanamke simwelewi

Germany Bundesliga kwa hewa, Dortmund kapiga mtu 4 - 0, unachelewa nini na unakwama wapi kumuita Grace(covid-20) ukampiga 4 halafu umpige kibuti maana ashakupotezea muda na hela, wahi sasa hujachelewa kutizama Bundesliga huku ukichukua tahadhari dhidi ya Corona.
 
Habari wakuu,

Nawakumbusha tuu tuendelee kuchukua tahadhali dhidi ya corona,kwa sasa Tanzania corona haivumi lakini ipo na inaua kimyakimya.

Turudi kwenye mada,Kijana mwenzenu nilianzisha uhusiano na mwanamke mmoja umri wake miaka 25 kwa sasa tulikutana mwaka 2018 jijini Dar tulikuwa tunaonana japo kwa nadra sana,mara nyingi tuliwasiliana zaidi kwa simu,mara nyingi nilimsisitiza aje japo geto mara moja anipe mzigo ilikuwa ngumu sana aliwahi kufika getoni kwangu mara moja tuu na akanibania kutoa mzigo bila sababu za msingi.

Nilikasirika sana kwa huo uamuzi wake baada ya kuona nimekasirika akanidanganya atakuja siku nyingine miezi ikapita bila kuja mwishowe nikapunguza mawasiliano nae mwaka ukapita tukawa tunawasiliana mara moja moja sana huku nikichukua tahadhali ya kupigwa vibomu na mtu nisiyekuwa na uhakika nae.

Baadae mwaka 2020 nikawa nimehamishwa kikazi kwenda kusini mwa Tanzania kwa kuwa nilikuwa sijaoa na nilipofikiria kumpata mwenzi wa maisha nilikosa kbs na sikuhitaji kuoa mtu wa kusini wazo likaniijia kuwa nimtafute huyu Grace wa Dar nifanye mpango nae wa maisha kwakuwa tulikuw tunawasiliana nae japo mara moja moja.nilimtafuta na kumweleza azma yangu na mpango mzima juu yake ndani ya mwaka huuhuu na akakubali taratibu tukaanza mawasiliano kwa kasi ya 4g ili kabla ya mwaka huu kwisha niweke chombo ndani

Changamoto niliyoipata sasa
1. Tangu tuanze mahusiano nae mwanamke huyu ameonesha kuwa msiri mno sijajua mambo mengi kuhusu yeye.Hata yale ya kawaida tuu kukwambia ni inshu ngumu ,Najitahidi nimjue kiundani hata kidogo lakini naona kabisa hayupo tayari,hata ukimuuliza tuu unakaa na nani hapo home,wewe ni mtoto wa ngapi na mengine madogo atakuzungusha mpaka utapotezea mara nyingi nilikuwa nampigia simu naongea nae muda mrefu ila yeye anakuwa msikilizaji tuu,ntajitahidi kuwa muwazi kwake ili nae ajiachie kdg ili nimjue vizuri lakini wapi,naambulia tuu kuitwa baby baby baby kila mstari wa sms

Sasa niliko mtandao wa halotel ndo unanasa vizuri na huwa nakuwa na airtime ya kutosha nikamuomba anunue laini ya halotel na nikamtumia hela nyingi tuu na nikamwomba asisahau kununua pia laini lakini mpenzi msomaji mpaka sasa ni mwezi laini haijanunuliwa nikimuuliza anasema sorry bby nitanunua tuu

2. Baada ya kuona huyu mtu response yake ni ndogo kwenye simu maana haongei sana na mimi nataka nimfahamu kiundani sina namna nikawaza nitumie mfumo wa maswali sasa sasa maswali nimechokwa mara moja analalamika namuuliza maswali mengi. Kwahiyo hata tukichat hamna cha maana ni salamu tuu na kuuliza unafanyaje baby ,umelala then usiku mwema baby

Kwa hizi dalili huyu mtu ananifaa na vipi nitumie mfumo gani ili nimfahamu kiundani?
Tafuta mwingine apo kakuweka kama spare tyre tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza
Hapo Bila Shaka Mpo Zaidi Ya Mmoja Kinachofanyika
Anawatazama Huku Akipokea Pesa Zenu Kwa Njia Ya Mitandao.

Fanya Hivi Wewe Ni Donar Country (Unamtumia Pesa)
Acha Kufanya Hivyo Ana Wengine,
Wewe Ukituma Pesa Mwingine Ya Kutolea

Hujajua Wanaume 10 Wanaweza Kuombwa Tshs 5000
Ukaona Ndogo Wote Mkatoa
Hapo Hakuna Mchumba Zaidi Sana
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
Kupenda upofu mkuu napata wasiwasi kbs ila nakosa nguvu ya kutoka nahitaji external force ya kunikwamua maoni ya wadau yamenipa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo hana mpango na wewe yuko kwako kwa mikakat yake binafsi uliponichekesha uliposema ndugu msomaj had Leo hajanunua line nimecheka kishenz
Habari wakuu,

Nawakumbusha tuu tuendelee kuchukua tahadhali dhidi ya corona,kwa sasa Tanzania corona haivumi lakini ipo na inaua kimyakimya.

Turudi kwenye mada,Kijana mwenzenu nilianzisha uhusiano na mwanamke mmoja umri wake miaka 25 kwa sasa tulikutana mwaka 2018 jijini Dar tulikuwa tunaonana japo kwa nadra sana,mara nyingi tuliwasiliana zaidi kwa simu,mara nyingi nilimsisitiza aje japo geto mara moja anipe mzigo ilikuwa ngumu sana aliwahi kufika getoni kwangu mara moja tuu na akanibania kutoa mzigo bila sababu za msingi.

Nilikasirika sana kwa huo uamuzi wake baada ya kuona nimekasirika akanidanganya atakuja siku nyingine miezi ikapita bila kuja mwishowe nikapunguza mawasiliano nae mwaka ukapita tukawa tunawasiliana mara moja moja sana huku nikichukua tahadhali ya kupigwa vibomu na mtu nisiyekuwa na uhakika nae.

Baadae mwaka 2020 nikawa nimehamishwa kikazi kwenda kusini mwa Tanzania kwa kuwa nilikuwa sijaoa na nilipofikiria kumpata mwenzi wa maisha nilikosa kbs na sikuhitaji kuoa mtu wa kusini wazo likaniijia kuwa nimtafute huyu Grace wa Dar nifanye mpango nae wa maisha kwakuwa tulikuw tunawasiliana nae japo mara moja moja.nilimtafuta na kumweleza azma yangu na mpango mzima juu yake ndani ya mwaka huuhuu na akakubali taratibu tukaanza mawasiliano kwa kasi ya 4g ili kabla ya mwaka huu kwisha niweke chombo ndani

Changamoto niliyoipata sasa
1. Tangu tuanze mahusiano nae mwanamke huyu ameonesha kuwa msiri mno sijajua mambo mengi kuhusu yeye.Hata yale ya kawaida tuu kukwambia ni inshu ngumu ,Najitahidi nimjue kiundani hata kidogo lakini naona kabisa hayupo tayari,hata ukimuuliza tuu unakaa na nani hapo home,wewe ni mtoto wa ngapi na mengine madogo atakuzungusha mpaka utapotezea mara nyingi nilikuwa nampigia simu naongea nae muda mrefu ila yeye anakuwa msikilizaji tuu,ntajitahidi kuwa muwazi kwake ili nae ajiachie kdg ili nimjue vizuri lakini wapi,naambulia tuu kuitwa baby baby baby kila mstari wa sms

Sasa niliko mtandao wa halotel ndo unanasa vizuri na huwa nakuwa na airtime ya kutosha nikamuomba anunue laini ya halotel na nikamtumia hela nyingi tuu na nikamwomba asisahau kununua pia laini lakini mpenzi msomaji mpaka sasa ni mwezi laini haijanunuliwa nikimuuliza anasema sorry bby nitanunua tuu

2. Baada ya kuona huyu mtu response yake ni ndogo kwenye simu maana haongei sana na mimi nataka nimfahamu kiundani sina namna nikawaza nitumie mfumo wa maswali sasa sasa maswali nimechokwa mara moja analalamika namuuliza maswali mengi. Kwahiyo hata tukichat hamna cha maana ni salamu tuu na kuuliza unafanyaje baby ,umelala then usiku mwema baby

Kwa hizi dalili huyu mtu ananifaa na vipi nitumie mfumo gani ili nimfahamu kiundani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu mwanamke cyo wako. Wewe ndo una plan za kumuweka ndani ila yeye hana plani hizo. Ulikua umelenga huyu tu mkuu? Hama chap.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, heri uyajue / umjue kabla hujaweka ndani.. ndoa zetu hasa Sisi wa dini ya kikristo Huwa ngumu sana sana kuvunja..

Kumbuka unachagua mtu utakayeishi nae pengine ktk kipindi chote cha maisha yako.. choose wisely, follow your heart, but take your brain with you.

Kila la kheir mkuu, ndoa ni jambo jema sana kama ukilipatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu mwanamke cyo wako. Wewe ndo una plan za kumuweka ndani ila yeye hana plani hizo. Ulikua umelenga huyu tu mkuu? Hama chap.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuw nae mwingine niliyemtegemea zaidi ila bahati mbaya nilikuwa kwenye long distance relationship,kwa wasiwasi wa kuwa huenda nampotezea muda akakubali kuolewa na mtu mwingine nikabaki na milupo tuu ambayo hata haifai kuweka ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom