Huyu mwanamke simwelewi

Huyu mwanamke simwelewi

Huyo mwanamke unayaelewa matendo yake vizuri tu, ila akili yako haitaki kukubali ukweli kuwa huyo mwanamke hakupendi na hakutaki

Hlf inaonekana hutongozi wadada wengi, hata kama unatongoza, bhas wote unaowatongoza wanakukataa Last KING Ontuzu
Zamani nilikuwa baharia mzuri tuu lakini kwa sasa nimetulia kabisa mpk najishangaa na nahitaji yawe ndo maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakupotezea muda,kwa ishara tu huyo hana sifa ya kuitwa mke mtumie kama mlupo tu. Andaa tour ya kutafuta mke nchi nzima, utafanikiwa.
 
Mwambie kuna mwanakwaya anakutongoza na yuko tayari kukuzalia mapacha 6.
 
  • Thanks
Reactions: RR
Bora nikimpata huyo mmakonde maana nipo na watu wa kabila la Wamwera hawa shida yao ni kudumu kwenye ndoa ni mtihani yaani wao kuoa na kuachana then kugawana ndo maisha yao ,mimi hii sihitaji ndoa za namna hii

Ila hawana gharama yaani wewe ukiwa na elfu hamsini ya posa unaoa hutadaiwa mahari imeisha hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu nachingwea .au ruangwa naimani na si kwingine
 
Back
Top Bottom