hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,332
- 73,144
😃😃😃 wewe cheza tu hiyo 3 mzuka
Umeua mkuuGermany Bundesliga kwa hewa, Dortmund kapiga mtu 4 - 0, unachelewa nini na unakwama wapi kumuita Grace(covid-20) ukampiga 4 halafu umpige kibuti maana ashakupotezea muda na hela, wahi sasa hujachelewa kutizama Bundesliga huku ukichukua tahadhari dhidi ya Corona.




Mkuu kuoa ni mtihani mmoja mgumu sana,Mungu asaidie nisije angukia puaMkuu, heri uyajue / umjue kabla hujaweka ndani.. ndoa zetu hasa Sisi wa dini ya kikristo Huwa ngumu sana sana kuvunja..
Kumbuka unachagua mtu utakayeishi nae pengine ktk kipindi chote cha maisha yako.. choose wisely, follow your heart, but take your brain with you.
Kila la kheir mkuu, ndoa ni jambo jema sana kama ukilipatia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hawa viumbe wana fomula mkuu?Mkuu dunia haizunguki upande wako funga viatu anza safari nyingine wanawake ni wengi sana though nina wasiwasi wakat unaanza nae kuna button ulipress vibaya alafu mtoto mzuri akaliona hilo ndo maana unaona km anazingua,usikute ulionesha nia ya kutaka sex kuliko kukuza penzi lenu kwanza.
Mwanamke smart huwa anampima mwanaume kwenye sex,akiona u talk about sex kwa kiwango kikubwa kuliko uhusiano wenu mkuu utazungushwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana formula bt we have to be very smart,kuwa na mwanamke ni sawa na kucheza drafti lazima uwe makini unaposukuma kete zako ili uwe king(umuwin).
Bahati yako ulimjua mapema,hasara kubwa sana mtu unampa kipaumbele na unapoteza muda wako ukiamini umepata mke kumbe yeye amekuweka kama spare tyre tuuNi mda kidogo , tulionana dar tukaanza kupeana michapo ya maisha ,ila kuhusu ndugu zake aliniambia wanaishi arusha,kwangu alikuwa anakuja sometimes ila kwakwe sijawahi kupafahamu , alikuwa anasema ni mvivu wa kuongea na simu kwahiyo mimi nilimchukulia hivo hivo.
Nikaenda mishe kikazi huko huko arusha ,mara simu haipokelewi jioni au usiku,visingizo nimelala , mara hivi na vile ,kumbe anaishi na boss wake na boss hakuoa mi nilikuwa sijui chochote.
Siku moja usiku saa nane nikasema ngoja nimsumbue mana kama siku mbili hatujaongea ila mambo ya baby yanaendelea tu but sielewi chochote ni msiri sana.
Nimepiga sana simu saa nane usiku akapokea jamaa,dah nilishtuka,nikamwambia jamaa huyo mchumba wangu nakushangaa upo naye ,hapo hapo nikasikia anamzaba vibao simu ikakatika.
Kesho yake jamaa akanipigia simu ,ananiambia tulipanga ndoa ila we kuwa naye ,na mi nikamwambia simtaki kuwa naye ww. Mi na jamaa tukawa marafiki tukiwa town sometimes tunapiga zetu bia,ila hamna aliyemtaka tena huyo dem kila mtu hamtaki
Akili inaniambia hamna kitu hapo lakini moyo unaniambia nisubirie tuu mambo yatakuwa sawa
Kwa kauli yako naomb nikutus kikwetu, huna akili. Unazubiri maumivu.Akili inaniambia hamna kitu hapo lakini moyo unaniambia nisubirie tuu mambo yatakuwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Love is crazy ila sasa inatoshaKwa kauli yako naomb nikutus kikwetu, huna akili. Unazubiri maumivu.
Nadhani nyie ndio wale wanyantuzu wa kariakaoo kijana, yaani unatoa huduma kwa mtu alieko mbali na bado hueshimik