Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
[emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa unamchezea mtoto wa watuMkuu sijasema kama sijamla. Nimesema amenipa vitu vingi.....umenielewa hapo?
Ulimbikiri wewe mwenyewe?Aaah mkuu angekuwa hanajipa mbunye nadhani tusingefika huku
Shukuru hata umekula kitumbua mkuuAaah mkuu angekuwa hanajipa mbunye nadhani tusingefika huku
Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu,Wanawake wa chuo hao
Wewe umenipa akili kubwa zaidi. Thanks bro.Mwanamke haachwi kwa kumuambia man to man mzebaba.
Mwanamke anaachwa slowly hadi asijue asikumbuke sababu ilikuwa ni nini.
Usimwambie kosa akajifunza coz You ain't there to train them do their future life mzee kwan wewe ni chuo ya mapenzi?
Sorry kwa ushauri mrefu,umenisamehe?
Well said mkuuKuna red flags nyingi tu huyo msichana anakuonyesha ila kutokana na kumpenda umejitia upofu.
Honestly I think amekuweka wewe ni wa by the way/reserve tu. She doesn't want to commit ila at the same time anakukeep close kwaajili ya just incase huko mbeleni. Ndo maana akuchezea hiyo michezo ya sitaki nataka.
Next time mtu akikukatalia, usiforce kingi. Madhara yake ndo haya.
My advice, find someone who is as committed in this, just as you are.
mbona povu ww una stress za mapenz sio bureWe ni fala eti?
we ndo ke yaan unataka positive comments tuKama huna cha kusema kausha. Uwe unapita tu nyuzi za wanaume. Hizi ni dalili za kike. Fala wewe.
sawa qum@Ok sawa mama mkubwa. Asante