Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Umeona eeeh?...same same

Unakaa na mwanaume hujui rafiki yake wala ndugu yake afuu eti unajitia unapendwa! Nacheka kinyarwanda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila sisi wanaume tutakutambulisha hata kwa friends zetu na shem darling watakuita ila ukweli wanajua kuwa mchizi ana main chick wake

ila side chick kamwe kwa ndugu huwa hafiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nami nilikuwa ivoivo kama sina future na mtu.. kiufupi huyo hataki aolewe nawe... UTAPATA TABU SANA
 
Hii ndo Tanzania ya uchumi wa kati wa viwanda tuitakayo..
 
sasa mkuu umeshasema unampenda na penzi ni upofu na kwa sifa hizo na huo uzi uliondika wew umekufa umeozaaa ushauri tu mpende tu ila usipend san kujua mambo yake yatakuumiza na utapata nini unataka
 
Mwanamke akiwa na nia ya kuolewa cha kwanza atahitaji akutambulishe kwao,mjuane na ndugu,rafiki zake n.k.ukiona hataki izo apo mguu pande mguu sawa.kingine angalia course anayosoma na sijui uko wapi.atakuja kupata kazi mikoa kama 10 kutoka ulipo na ujulikani kwao akiondoka tu siku anarudi maajabu yako yote ni tumbo kuongezeka,so nakushauri Fanya uamzi mapema wa kumwambia ukajitambulishe kwao na ata akikubali ila akavunja ahadi basi hilo huwa ni mkosi na laana kumkimbia mtu ambae ushamwaidi kuona,then utapata jibu kamili.alafu uje utujuze kasemaje after that
 
Ushafikiria kuchana nae, means umeshindwana nae...

Hakuna cha kukushauri kwa sababu maamuzi tayari unayo...


Cc: mahondaw
 
Mkishauliwa=mkishauriwa
Tayali= tayari
Ni hayo tu kwa leo.
 
Yes..kwa rafiki atakuonesha but kwa ndugu never ever

Ila wanaume wengine hawajali ndugu utawajua though hakupendi[emoji23] [emoji23]

Wanaume wamepinda!
 
Upo katka wakati mgumu ila ndio muda sahihi wa kujua kua unapopanda kuna rutuba! Ya kuufanya mmea kukua vizuri. Jaribu kumwambia kua unahisi kwa sasa ni muda sahihi wa wewe kupeleka posa kwao ili akimaliza shule akute baadhi ya taratibu umeshazimaliza za kuwawezesha kuishi pamoja kama wanandoa rasmi na Umsikilize atasemaje hii itakusaidia kutoa uamuzi sahihi. ila kumbuka usimpe nafasi ya kua yeye kua ndio sababu ya kuachana
 
Nitaleta feedback mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…