Huyu mwanamke simleti Tena geto.

Huyu mwanamke simleti Tena geto.

Hahahah, kama nakuona alivyokua anakupa makavu yako ya ukweli na jinsi unavyo mcheki, ila ufanye usafi ghetto na uani pia hata kama si zamu yako siku hiyo...

1553762984040.png
 
Nawe uache uchafu, au unafikiri uchafu sifa hadi uje kututangazia huku!!!
 
Huyo dada hapo kwenye usafi kakupa changamoto ubadilike bro na kipengere cha nyumba work hard ujenge yako.

Namshukuru huyo Dada kakutoa tongotongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom