Mkuuu huyo mwanamke ni hazina sana. Naomba uniPm namba yake awe mke wa pili naaamini atasaidia mihangaiko yangu kufikia malengo. Naisubiri namba yake mkuu
Boss yaan hapo una dhihirisha udhaifu wako demu akija geto mzee ndio siku yake ya kutimiza majukumu ya ndoa kipindi cha majaribio unge mpa nguobakufulie na usafi afanye geto hapo ss tatizo vijana wa siku mnacheka cheka tu demu akilembua na ww unalembua macho ..na inaonekana himpigi pipe ya kutosha ndionmaana anakulaumu laumu ila sio case BADILIKA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.