kama serikali ina ajiri mtu wa hovyo kama wewe ni haki tuendelee kubaki masikini.Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz akawa amenipgia sim kuniulizia mambo ya kazi na huduma zinazo husu utumishi nikamjibu kumbe yule dem ananisikilizia ghafla jamaa akakata sim nimekaa kama dakika 10 nikawa nimemuomba namba huyo dem coz tulikuwa katika harakati za kutafuta usafiri; ghafla gari likatokea tukapanda ilkuw ni tax ilifika sehem tukaachana, hapo hapo tulianza kuwasiliana na kuanza kuniita mmewang mam@eee. Nikasema sikajiingiza mkenge huyu? Mwisho wa siku nilimuita kwangu na tulikaa nae kama wiki mbili hv bahat nzur nilichukua likizo tukaachana ye akaenda kwao na mm kwetu chakushangaza sasa saiv ananilazimisha niende kwao nikajitambulishe sijui kisa kakuta home kwangu maisha sio magum kiviiiile japo nimagum.
Niishie hapo msije shindwa soma wakuu
[emoji1][emoji1][emoji1]kama serikali ina ajiri mtu wa hovyo kama wewe ni haki tuendelee kubaki masikini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KWA HIYO ULIKUWA UNATAKA USHAURI GANI MKUU???
Kajitambulishe umuoeWowote ule
Umekaa naye week mbili unamfukunyua sasa kubali matokeo. Huyo mkeo 😂😂😂Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz akawa amenipgia sim kuniulizia mambo ya kazi na huduma zinazo husu utumishi nikamjibu kumbe yule dem ananisikilizia ghafla jamaa akakata sim nimekaa kama dakika 10 nikawa nimemuomba namba huyo dem coz tulikuwa katika harakati za kutafuta usafiri; ghafla gari likatokea tukapanda ilkuw ni tax ilifika sehem tukaachana, hapo hapo tulianza kuwasiliana na kuanza kuniita mmewang mam@eee. Nikasema sikajiingiza mkenge huyu? Mwisho wa siku nilimuita kwangu na tulikaa nae kama wiki mbili hv bahat nzur nilichukua likizo tukaachana ye akaenda kwao na mm kwetu chakushangaza sasa saiv ananilazimisha niende kwao nikajitambulishe sijui kisa kakuta home kwangu maisha sio magum kiviiiile japo nimagum.
Niishie hapo msije shindwa soma wakuu
mimi sio amina acha UJINGAAmina
Mstiri mtoto wa mwanamke mwenzio mkuu, shida iko wapi? Au hajakidhi vigezo.Anajua kozi katika pitapita alkuta mkeka nmeu screen short alafu nilikuwa nmepgwa laki mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz akawa amenipgia sim kuniulizia mambo ya kazi na huduma zinazo husu utumishi nikamjibu kumbe yule dem ananisikilizia ghafla jamaa akakata sim nimekaa kama dakika 10 nikawa nimemuomba namba huyo dem coz tulikuwa katika harakati za kutafuta usafiri; ghafla gari likatokea tukapanda ilkuw ni tax ilifika sehem tukaachana, hapo hapo tulianza kuwasiliana na kuanza kuniita mmewang mam@eee. Nikasema sikajiingiza mkenge huyu? Mwisho wa siku nilimuita kwangu na tulikaa nae kama wiki mbili hv bahat nzur nilichukua likizo tukaachana ye akaenda kwao na mm kwetu chakushangaza sasa saiv ananilazimisha niende kwao nikajitambulishe sijui kisa kakuta home kwangu maisha sio magum kiviiiile japo nimagum.
Niishie hapo msije shindwa soma wakuu