Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
6,532
Reaction score
11,027
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.
 
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
 
Moja kwa moja niende kwenye mada, kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyo pita. Tumekuwa kwenye sintofahamu.

Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, sms hajibu Kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini...

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika...

Ila nimeshangaa kanitumia sms usiku huu, kama screenshot inavo onekana hapo chini.
Hii ina maana gani,? Nimjibuje au nimpotezee?
Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.
View attachment 836200View attachment 836200
Chapa lapa mkuu huna haja ya kujibu kitu thou inaumiza bt be strong.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom