Huyu mwanamke nimfanyeje?

Huyu mwanamke nimfanyeje?

Ulitakiwa umpeleke gheto sasa wewe unampeleka guest hujui watoto wa kike wanaogopa hyo sehemu wanaona Kama wataonekana wahuni,demu anayejitambua huwezi ukampeleka hyo sehemu tumia akili mkuu peleka ghetto
 
Behind the camera,
Hii imenikumbusha hadithi ya rafiki yangu! Yeye alimpenda mrembo mmoja aliyekuwa akifanya kazi katika bar moja. Kadiri ya huyu rafiki yangu, ambaye kaoa, alitaka amchombeze huyu mrembo! Alianza kumtongoza lakini ikawa shida kukubaliwa. Kapewa sharti, ili apewe tunda basi ampe mtaji ili aanzishe biashara yake mwenyewe! Jamaa yangu yuko njia panda!
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh huyo yuko kimaslahi
 
Ukitongoza mtoto na ww lazima uwe mtoto
Vurugu tupu! Unatupa taarifa kwamba bint wa miaka 19,ulitaka KUMZINI ikashindikana,unamtaja na MUNGU kwamba anamuona! Wewe je huonekani au hutambuliki na hiyo dhamira yako ya uasherati? Halafu wewe na wanaokushabikia si mtaoa? Mtapenda binti zenu waje wawe wanagawa miili yao hovyo kizinzi? Blali fish.
 
Atakupa tu kuwa na subira alaf unaonekana unataka upige usepe huna malengo na mtoto wa watu
Sasa mtoto wa miaka 19 anaweka nae malengo gani kama sio kutafta matatizo tu mkuu?

Wacha binti afike walau 25 kama atakuwa analipa baada ya sarakasi zote za usichana chuoni huko kisha ndio wapange malengo yenye tija.
 
Utakalomfanya halitompata kamwe, amekwambia umuoe na ndio jambo la kheri we unaleta blahblah
 
fanya maamuzi ya kiume mpotezee tu mazima kwani mwanamke yupo peke yake? mwanamke hawezi kukuyumbisha ivyo halafu mwisho wa siku unakuja kichapiwa we endelea kusubiri jumba bovu likuangukie
Kugongewa kimyakimya ndio malipo ya wanawake kwa madume ndezi, Ingekuwa mimi kwa upuuzi aliofanya ningempa ultimatum tu kisha ningepiga kimya. Isingepita week angekuwa kashanletea na kunibembeleza juu na vikauli vyao vile..."Kwahio ndio umekasirika jaman, me nilikuwa nakutania tu bebi" hapo baharia naweka kisula cha kazi akishasaula tu ndio naanza kulegeza masharti kwa tabasam la mbali 😆😆😆!

Mwanaume lazma usimamie kile unachotaka always.
 
Kugongewa kimyakimya ndio malipo ya wanawake kwa madume ndezi, Ingekuwa mimi kwa upuuzi aliofanya ningempa ultimatum tu kisha ningepiga kimya. Isingepita week angekuwa kashanletea na kunibembeleza juu na vikauli vyao vile..."Kwahio ndio umekasirika jaman, me nilikuwa nakutania tu bebi" hapo baharia naweka kisula cha kazi akishasaula tu ndio naanza kulegeza masharti kwa tabasam la mbali 😆😆😆!

Mwanaume lazma usimamie kile unachotaka always.
Nyakati ngumu hizi mwanaume ukiwa unayumba unashindwa kufanya maamuzi magumu kila mtu atakupita umesimama
 
Yeye mdad aliyekutema, ame comment wapi? hapo tumesikiliza upande mmoja tu.

najua mdada wa watu alishajua toka mtaani kwenu, kuwa una ukimwi. na pafyumu ya kudumu. hizo habari zilizagaa sana
 
Ww jamaa si ungekubali tu aje huki hko mlikopanga kkutana. Akija mazingira na alama za usoni vyote vingeongea. Na angelika vema tu. Ww ni mzembe. Ulitaka ajionyeshe kua yy analiwa kirahisi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom