Huyu mwanamke nimfanyeje?

Huyu mwanamke nimfanyeje?

Behind the camera,
Hii imenikumbusha hadithi ya rafiki yangu! Yeye alimpenda mrembo mmoja aliyekuwa akifanya kazi katika bar moja. Kadiri ya huyu rafiki yangu, ambaye kaoa, alitaka amchombeze huyu mrembo! Alianza kumtongoza lakini ikawa shida kukubaliwa. Kapewa sharti, ili apewe tunda basi ampe mtaji ili aanzishe biashara yake mwenyewe! Jamaa yangu yuko njia panda!
Hapo hapendwi mtu inapendwa pochi
 
Aliwasimulia wanakwaya wenzake. Mmoja mwenye wivu kambadili mawazo. Huyo ukimla ujue umekula group lake lote.

Umri huo hana maamuzi achana nae, ataileta mwenye akiwa na ch*pi mkononi.
 
Aliwasimulia wanakwaya wenzake. Mmoja mwenye wivu kambadili mawazo. Huyo ukimla ujue umekula group lake lote.

Umri huo hana maamuzi achana nae, ataileta mwenye akiwa na ch*pi mkononi.
Hii ilinikuta Mkuu, tumekubaliana Vizuri na Mtoto kesho aibuke geto, kaenda kumuomba rafiki yake ushauri Si akampeperusha Aisee nilaani Sana,.
 
pw94ytaoioeou89e78wiegue8yiyquiptuytygdyiaruyfhjkasjfuitywautaisoutyhgkiertuioeiowrytuiijhdfyurieyeurigikjeoiurewuytuoweitjiouuerytiuoweiagjlhieiiruoweter.

ldrkgyuajhtrei;lfskfvsjigkdudtddyuriolfkjguuhkljfdgskjkfjgkfdhkjl....umeelewa;;;
 
Mpe muda wa kutosha wala usionyeshe kuwa hukupenda alichokifanya, yaelekea ana malengo mazuri na wewe. Kukimbilia kuomba mzigo na kulazimisha upewe yaonekana wewe ni mbinafsi. Msemo huu ni muhimu kuuzingatia, mvumilivu hula mbivu
 
fanya maamuzi ya kiume mpotezee tu mazima kwani mwanamke yupo peke yake? mwanamke hawezi kukuyumbisha ivyo halafu mwisho wa siku unakuja kichapiwa we endelea kusubiri jumba bovu likuangukie
 
Vi under 20 ni tatizo.. Msubiri akue. Usimwache keep the friendship... Siku atakupa.
 
Mpe muda wa kutosha wala usionyeshe kuwa hukupenda alichokifanya, yaelekea ana malengo mazuri na wewe. Kukimbilia kuomba mzigo na kulazimisha upewe yaonekana wewe ni mbinafsi. Msemo huu ni muhimu kuuzingatia, mvumilivu hula mbivu
Yeapp..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom