Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
WAKUU,
KAMA KAWAIDA YANGU YA KUSJIRIKIANA VEMA NA MAJIRANI,
HAPA KITAA KUNA DADA PINI MATATAAAA,
MWEUPEEEE,
KAJAZIA KAMA #PAM_D,
NI INJINIA WA KAMPUNI FLANI YA UJENZI MAARUFU SANA HAPA TOWN,
AMBAYE NILIWAHI KUPATA KIBARUA CHA KUBEBA TOFALI KWENYE UJENZI WA NYUMBA YAKE ILIYOKAMILIKA HIVI KARIBUNI KULE MADALE.
SASA ALINIZOEA NA KUJIWEKA KARIBU YANGU SANA,
KILA SIKU ANAPORUDI KAZINI NI LAZIMA ANITEMBELEE NA KU_PARK NDINGA YAKE AINA YA #SUZUKI_SWIFT,
AU ILE #TOYOTA_CARINA_Ti PALE KIJIWENI KWANGU SALASALA NINAKOGONGA KOKOTO.
MAZOEA YAKAZIDI,
HADI AKANIFANYIA MANUVA YA KUPATA KAZI YA KUWA MSIMAMIZI MDOGO WA VIFAA KATIKA KAMPUNI YAO,
NA NIKAACHANA KABISA NA ISHU YA KUGONGA KOKOTO.
KWA SASA ANANIFOSI NIHAME PALE TEGETA_BASIAYA NILIPOPANGA ILI NIKAMPE KAMPANI KWENYE APATIMENTI YAKE KWANI YUKO MPWEKE.
KWA UJASIRI WA KIUME SIJAHAMIA,
ILA HUWA NAENDA MARA KADHAA NA KURUDI GHETTO KWANGU.
INGAWA KWA SASA KAANZISHA MUVUMENTI INGINE YA KUNG'ANG'ANIA NIENDE NIKAMTAMBULISHE MTWARA-
BADO NALIFIKIRIA!
-------------
KWA KIPINDI CHOTE NILICHOMFAHAM',
NIMEBAINI KUWA ANA HULKA SANA NA MAMBO YA MPIRA!
YAANI HATA MKIWA MNAZUNGUMZIA MADA ZINGINE ZENYE TIJA ZA KIMAISHA,
YEYE
ATATAFUTA KIPENGELE CHA KUHUSIANISHA NA MAMBO YA MPIRA,
NA HATIMAYE MIFANO YA KWENYE MPIRA ND'O INATAWALA!
YAANI YEYE MUDA MWINGI STORI ZAKE NI
"Morinyo, Samatta, Wenga, Mavugo, Jeri Muro, Manara, Shabani Nonda, Ulimwengu, Pogba NA BLAH_BLAH KIBAO ZA AINA HIYO!"
NA MIMI SINA MZUKA KABISA NA HIZO MAMBO!
NIMEMWAMBIA TUTENGE RATIBA YA KUZUNGUMZIA MPIRA NA MAMBO MENGINE,
KWA SAUTI YA UPOLE NA UNYENYEKEVU
AKASEMA
"I've really understood you #Seneta_Wa_Mtwiz,
I'll keep what you've said boy.
Promise,
Trust me."
********
SASA MUDA HUU ALIKUWA CHOONI ANAJISAIDIA,
KUMBE MASIKIO YAKE YOTE YAPO KWENYE TV.
KUNA GOLI LIMEFUNGWA HAPA-
KAKURUPUKA KUTOKA CHOONI,
YAANI KAACHA KUNYA KABISA,
NASIKIA TU,
"Woooyo,
Woooyo,
Woyooooh!"
KIUKWELI ANANIBOA NA KUNIPOTEZEA MUDI SANA KWENYE HIKI KIPENGELE!
HADI NATAMANI NITEMANE NAYE NIRUDI KUGONGA KOKOTO SALASALA!
-----
SASA WAKUU,
KWA ITIKADI HIZI ZA MPIRA_MPIRA HIZI,
HUYU NG'OMBE HATONISUMBUA HUYU KWELI!?!