Huu msimu wa Magufuri wanatakiwa wapewe kauli za kikatili...yaani wengi wamekuwa matapeli sasa, tabia zao wamezianika wazi sasa....namshukuru Magufuri kwa kufanya yote aliyoyafanya...tambia mbaya za watu wengi zimeanza kuonekana waziwazi. Wanawake ni wezi zijapata kuona, kuna mwingine kavuna mazao yangu shambani yaani!, mwingine kakimbia na simu zangu mbili, haaa!... Hatari sana!!! Cheza nao mbali aisee!