Huyu Mwanamke dah! Nahitaji Msaada aisee

Status
Not open for further replies.
Habarini za wakati huu wana JF,
Naombeni mawazo,ushauri, mchango wowote ule its OK. Kuna Dada nampenda sana there's some degrees za upendo wa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu zinaonesha kudata na yule Dada nimejaribu, nimepambana kiume, nimepigana kama mwanaume....nimefanya kila effort according to my best level.....sometimes I use even my talent to show her how I Love, Even my whether nimetumia BUT WONDER FOR ENOUGH Dogo hataki kunielewa yaan..Dogo haelew...yaan nimewinda kininja kibabylon kabisa but dah she react negative on my concern......WHAT CAN I DO NOW???????
Tafuta pesa mingi mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeh umenikumbusha mbali sana.

Embu acha hizo ndugu yangu, kama kakutema nawe jifunze kutemeka. Kiukweli mapenzi huwa hayalazimishwagi.

Binafsi huwa naamni kwenye nguvu ya upendo, ambayo inaweza kumjenga mtu kuwa na uvumilivu, hekima, heshima, busara na hata upole. Sasa nikiona hiyo nguvu haipo, usually huwa sioni maana ya ku-force love. Unaweza uka-force leo, kesho mapenzi hayo hayo yakakuliza vibaya mno....so its better ukashit na kuumia leo, pengine kufika kesho ukawa umepona na kujifunza pia.(wapo walionielewa).

Take it, kitakusaidia bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are too present and you know too much presence suffocates.
Ushauri: Use calculated ABSENCE.
Power is in absence not presence. Too much presence makes you appear WEAK.
 
Leave her man. I doesnt worth it wewe kupoteza your energy on her wakat huko nje maybe kuna wengine wanatamani kuwa na ww.
Usipende ku force mambo.. ukiona mtu akutaki just bail outman
Habarini za wakati huu wana JF,
Naombeni mawazo,ushauri, mchango wowote ule its OK. Kuna Dada nampenda sana there's some degrees za upendo wa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu zinaonesha kudata na yule Dada nimejaribu, nimepambana kiume, nimepigana kama mwanaume....nimefanya kila effort according to my best level.....sometimes I use even my talent to show her how I Love, Even my whether nimetumia BUT WONDER FOR ENOUGH Dogo hataki kunielewa yaan..Dogo haelew...yaan nimewinda kininja kibabylon kabisa but dah she react negative on my concern......WHAT CAN I DO NOW???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za wakati huu wana JF,
Naombeni mawazo,ushauri, mchango wowote ule its OK. Kuna Dada nampenda sana there's some degrees za upendo wa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu zinaonesha kudata na yule Dada nimejaribu, nimepambana kiume, nimepigana kama mwanaume....nimefanya kila effort according to my best level.....sometimes I use even my talent to show her how I Love, Even my whether nimetumia BUT WONDER FOR ENOUGH Dogo hataki kunielewa yaan..Dogo haelew...yaan nimewinda kininja kibabylon kabisa but dah she react negative on my concern......WHAT CAN I DO NOW???????
Hiyo vita inabidi utumie njia za kireno tafuta kwanza ni kitu gani kinachomfanya dogo akutolee mbavuni ukishajua hicho kikwazo then study mazaidhu ya hicho kikwazo na uyageuze kama opportunities ya kuwin game
 
Huyo ndo chaguo lako amini.
Mm niliyenaye sasa alinisumbua km anavyokusumbua ww lkn kwa kuwa niliamini chembe chembe za penzi la kweli zilikuwa kwake hivyo sikukata tamaa. Nilifuta namba zake km mara 3 maana nilikuwa natuma hata sms zangu hajibu au hata akijibu ni zile Ok na P na nilimfuatilia kwa miezi karibu 6.
Lakini siku alipokuja kufungua moyo wake sasa naona furaha halisi ya mapenzi na miezi km 3 ijayo nitaitwa baba(ana ujauzito wangu).
Usikate tamaa hata kidogo.
Habarini za wakati huu wana JF,
Naombeni mawazo,ushauri, mchango wowote ule its OK. Kuna Dada nampenda sana there's some degrees za upendo wa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu zinaonesha kudata na yule Dada nimejaribu, nimepambana kiume, nimepigana kama mwanaume....nimefanya kila effort according to my best level.....sometimes I use even my talent to show her how I Love, Even my whether nimetumia BUT WONDER FOR ENOUGH Dogo hataki kunielewa yaan..Dogo haelew...yaan nimewinda kininja kibabylon kabisa but dah she react negative on my concern......WHAT CAN I DO NOW???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za wakati huu wana JF,
Naombeni mawazo,ushauri, mchango wowote ule its OK. Kuna Dada nampenda sana there's some degrees za upendo wa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu zinaonesha kudata na yule Dada nimejaribu, nimepambana kiume, nimepigana kama mwanaume....nimefanya kila effort according to my best level.....sometimes I use even my talent to show her how I Love, Even my whether nimetumia BUT WONDER FOR ENOUGH Dogo hataki kunielewa yaan..Dogo haelew...yaan nimewinda kininja kibabylon kabisa but dah she react negative on my concern......WHAT CAN I DO NOW???????
Chukua dp yake kula nyeto lala

Hebu elezea uhusiano wa kininja kibabylon na hela. Inawezekana hapo penye mapigano yako hatujakusoma vizuri
 
Ukiona hivyo jua hupendwi usilazimishe vitu ambavyo haviwezekani, Wanawake wamejaa kila kona ya nini kupata shida?
 
U nailed it nigga,, inaonekana mshikaji hajui Sheria za huu mchezo,,
 
Habarini za wakati huu wana JF,
Naombeni mawazo,ushauri, mchango wowote ule its OK. Kuna Dada nampenda sana there's some degrees za upendo wa kweli kabisa kutoka moyoni mwangu zinaonesha kudata na yule Dada nimejaribu, nimepambana kiume, nimepigana kama mwanaume....nimefanya kila effort according to my best level.....sometimes I use even my talent to show her how I Love, Even my whether nimetumia BUT WONDER FOR ENOUGH Dogo hataki kunielewa yaan..Dogo haelew...yaan nimewinda kininja kibabylon kabisa but dah she react negative on my concern......WHAT CAN I DO NOW???????

No nation has benefited from prolonged warfare.
 
Mkuu usilazimishe mapenzi kama hutakiwi utakuja kuumia sana baadae
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom