LONE_WOLF
Senior Member
- Nov 21, 2015
- 175
- 255
No Sargent, tunasikiliza Diaspora over.Man down; I repeat man down. Alpha do you copy?
No Sargent, tunasikiliza Diaspora over.Man down; I repeat man down. Alpha do you copy?
Asante sana Mtakatifu Anne
Tatizo weakness unazifanya kuwa za jumuiya, mwanaume unatakiwa strongSawa unaweza kua sahihi ila mapenzi hayako hivyo utafika siku moja
Maneno yako yamenichomaNSHASEMA sikutaki...usichoelewa Nini wewe kitunguu maji....Chefuuuu
Kama unateseka hivyo inaonesha yeye hana hisia na wewe.Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.
Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.
Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.
Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu. Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my achievement I won't give up on you
Ko alikua anaandika huku anapiga selfie?Uku mwishoni umemalizia na maneno kama unapiga bao hivi kwa huyo manzi..
Seems you are heading 👉👉👉👉👉 a point of no return.Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.