Mtumie voice note.NSHASEMA sikutaki...usichoelewa Nini wewe kitunguu maji....Chefuuuu[emoji849][emoji37]
Mtag tukusaidie kubembeleza πππNdio
Ukweli ni kwamba nimwkufa nimeoza na ubaya zaidi siwezi ficha wingi wa mapenzi niliyonayo. Nampenda sana, nimeahindwa kujibanabana moyoni ili nisionyeshe kua nampenda..
I can feel your pain lakini amini hata ulie na usage meno uanvyozidi kumlilia ndivyo anakuona umekufa na umeoza na we boya tu. Wanawake hawapendi wanaume soft soft, hapo ukute anayempenda anampeleka kijeshi jeshi. Wakati wewe unalia huku jamaa anampgia simu nikitema mate chini kabla hayajakauka uwe hapa
Negative Bravo,We are under heavy fireMan down; I repeat man down. Alpha do you copy? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]