miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Usinionyeshe mkuu nisije kukubemendaAu unataka nikuonyeshe kama nimebarehe,?
Usinionyeshe mkuu nisije kukubemendaAu unataka nikuonyeshe kama nimebarehe,?
Tatzo co tatzo ila chanzo cha tatizo,
Acha mazoea na hao wakina Dada coz hawana msaada kwako.
Huyo Dada anakupnda kwa chat,ana wivu ndio maana.
Unakuwaje na mazoea na wanawake kiivo adi ysmletee MTU was was
?????
Acha kumlaumu binti wa Watu wakat wew ndo una malezi sifuri na hujitambui kabisaaaa.
Mwambiye ukweliHabari na ninawasalimia kwa jina la JF,
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo, lakini kinachonishangaza ni kwamba ikitokea nimesahau simu yangu huwa anaichukua na kuikagua na akikuta kuna namba ya mwanamke hasa wale ambao nimesoma nao huwa tunapenda kutaniana yeye uchukulia kama ni mtu wangu kwahiyo huchukua namba hiyo na kuanza kuwaporomoshea matusi ya nguoni bila hata kuniuliza niko nae vipi.
Baadae hao watu hunipigia simu kuniambia hali hiyo. Mpaka kuna siku moja alinipigia simu dada yangu mida ya jioni na siku hiyo huyu dada nilikuwa nae akaniambia wasichana wako wameanza kiukweli nilikasirika sana kuniambia hivyo. Je, Huu wivu wa kimapenzi mpaka kuwaporomoshea watu matusi ya nguoni au malezi sifuri.
Naomba ushauri wenu.
Take fiveUnakuta janaume lina Mke kabisa lkn linawasiliana na wasichana romantically ukiuliza rafiki, namsapotiiii acha Huo ujinga uone km ataendelea, mbona hajamtukana mama ako??????
Mbona hajatukana wanaume???????
Jirekebishe kwanza co kulaumu wanawake eti maleziiiiii wew unamalezi gain kwa mfano
Rudisha ile avatar yako nzuri banaMpeleke mkoleni huyo msungo hajafundwa bado! mwanamke kamili hana hulka hiyo
Hivi msichana anaependa kiasi icho had kuwa na na wivu wa kupitiliza nahisi kwa mikin hakuna. Uyo wako yupo wapi, ikibd tuonyeshe tuone ata muonekano wake!!Habari na ninawasalimia kwa jina la JF,
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo, lakini kinachonishangaza ni kwamba ikitokea nimesahau simu yangu huwa anaichukua na kuikagua na akikuta kuna namba ya mwanamke hasa wale ambao nimesoma nao huwa tunapenda kutaniana yeye uchukulia kama ni mtu wangu kwahiyo huchukua namba hiyo na kuanza kuwaporomoshea matusi ya nguoni bila hata kuniuliza niko nae vipi.
Baadae hao watu hunipigia simu kuniambia hali hiyo. Mpaka kuna siku moja alinipigia simu dada yangu mida ya jioni na siku hiyo huyu dada nilikuwa nae akaniambia wasichana wako wameanza kiukweli nilikasirika sana kuniambia hivyo. Je, Huu wivu wa kimapenzi mpaka kuwaporomoshea watu matusi ya nguoni au malezi sifuri.
Naomba ushauri wenu.
hivi dem yeyote akikwambia anakumis huwa kakumbuka nini? mbona salam zisizo na utata zipo nyingi tu.....hebu jiulize ni jambo la kawaida mwanaume kumtumia mwanaume mwenzie viji meseji eti nimekumis? mimi ni mwanaume lakini huwa siamini kama urafiki kati ya ke na me na uweza kuwa wa karibu sana bila ya kuishia kwenye sexual relationship...ni mtazamo tu...Sio kwamba wale no madem zangu, hiv mtu akikwambia amekumis let say huyo ni demu wako
Lazima nifanye utafiti kwanza lkn siwezi kuanza kutukana huyo mtuWe ukikuta anataniana na wanaume utajisikiaje, utafanyaje..... Ovyooo
HukunielewaKwan new member had unused I kuchangia au kuomba ushauri
Utafiti wa kazi gani, tena we unaeendekeza upopoma ndio ungemwagiwa hayo matusiLazima nifanye utafiti kwanza lkn siwezi kuanza kutukana huyo mtu
Mm sijalelewa kwenye jamii ya matusi ndio maana siyapendiUtafiti wa kazi gani, tena we unaeendekeza upopoma ndio ungemwagiwa hayo matusi
Hajasema akikuta msg, kasema akikuta namba iliyo na jina la mwanamke!Unataniana nao ki vip?lazima itakuwa ni story za kwich kwich hvyo bhas wew ndo chanzo cha tatizo
UtajijuMm sijalelewa kwenye jamii ya matusi ndio maana siyapendi
Na ww naona walewale tuUtajiju