Huyu mwanajeshi ananichanganya


Naunga mkono kabisaaaa. Hii ni kutokana na jamaa yangu, alilazwa na nilikuwa naenda muona na kumpelekea chakula. Katongoza manesi wawili na kagonga kwa mida tofauti baada ya kutoka. Sijajua kwa hosptali zingine iko vipi, ila ninahisi ni hospitali nyingi tu mwendo ndo huu.
 
MBNA unanchukulia poa msee? Kama huna ushauri syo lazma uandike upmbav wako hapa sipo after money nda ulivyokariri am taking about relationship!

Kumbe upeo wako mdogo, huo ni mfano co km wewe ndo inapokea hizo pesa, ni njia tu alikua anataka umuelewe. kifupi unaonekana huwajui wanaume vzr, na cha muhimu kaa nampnz wako mweleze unachomc toka kwake labd ni prika za maisha znachangia. Otheryz tutakupitia wengi,c wengine ni matapeli wa mapenz
 
"Anaonesha anajari"

Sisi wanaume huwa tunajua sana kujari kabla ya kupata yale mambo yetu. We mpe tu ndio utajua kati yake na huyo wa sasa hivi nani anajua "kujari"

Aiseee umeongea ukweli uliotukuka akishapigwa mambo hata simu yake hataiona hadi amuanze yeye
 
aise sikushauri kumwacha mchumba wako awali ni awali tena acha kabisa wazo hilo wanaume siku za mwanzo loh utasema labda nimepata ngoja azoee utajuta
 


Huyu loyda ninaona ana kaugonjwa cha kujielewa au utoto unamsumbua maana ukisoma thread zake zote unaona anaomba ushauri kwa mambo ambayo anaweza kufanya mwenyewe....

Pia ndani ya miezi 3 tu kashaongelea wanaume watatu tofauti ambapo kuna mbabu aliyempa laki 3 (akaliwa nae kwa gia ya ulokole) saa hivi tena soon ataliwa na mpemba... Sijajua kama huyo mchumba anayemzungumzia sasa ndio yule yule wa mwezi wa 8 wakati analiwa na yule babu wa miaka 55+ yrs
 
Last edited by a moderator:

Anajali kuliko mchumba yupi?

~Yule anayekupa lifti ya kwenda kazini na kurudi nyumbani?

~Au yule anayefuja pesa kwa vitu vya ovyo?

~Au yule "babu" aliyekutumia lunch ya laki tatu na nusu?

~Au yule aliyekununulia Ipad ya $900?

Na huyu kakufanyia nini ili tuelewe kuwa anajali kuliko hao wengine?

Au kombati zake ndo zimekuchanganya?

majibu pliz.
 

yaan ukitaka kummaliza nurse ukiwa na mgonjwa wako ww mfuate kama yupo zam mpe majukum ya ziada ya kumcare mgonjwa wako na mtoe vijisent kidogo, halafu ile anabadilisha shift mpe appointment muonane maeneo umtoe out kidogo kwa kaz nzur ya kumhudumia ndg yako hapo tayar unamvua kyupi kilaiiin.

Kama ww ndio mgonjwa mwite mwombe msaada wa kukuangalia mara kwa mara halafu fungua wallet kidogo halafu ukipona mwandalie hafla fupi ya shukran kwa kukuuguza hapo tayar..

Bado huko kwa dr wake sasa
 

Mkuu wengine walishapanga vile wanataka harusi yao iwe + kugoogle engagment ring wanayoitaka hahahaaa mtu unacheki simu kwa picha ni rings zimejaa unauliza kulikoni... Ati anachagua ipi ni new model and unique apate kuitengeneza ..... Chezea mwanaume wew kumbe ana mke wake huko alikotoka kwa huyu binti alikuwa anapiga mambo tyu hahahaaaa ni shidaaaa huku kujali huku tunakuogopa
 


kwanza mwanaume anayekutongoza nakusema anakuoa ujue hamaanishi 200% huwa anakutongoza muwe wapenzi kwanza ndo alete mada zakuoana akisha jiridhishq na tabiq zako ina maana mtoa mada hili hulijui au una hamu yakudanganywa nawewe uweke historia au
 
Umechanganywa na riafande Pole

kwa ufupi achana nae huyo Afande wana Visa hawa
 
kwanza mwanaume anayekutongoza nakusema anakuoa ujue hamaanishi 200% huwa anakutongoza muwe wapenzi kwanza ndo alete mada zakuoana akisha jiridhishq na tabiq zako ina maana mtoa mada hili hulijui au una hamu yakudanganywa nawewe uweke historia au

Ukifuatilia thread zake utagundua kuwa ashaweka historia ya vitimbwi maana duuu ni shida
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…