Huyu mwamba wamevunja vunja mifupa yote!

Watanzania tunajua tunachokitaka. Mavunde ameanza kuzomewa Dodoma. Wee endelea na propaganda zako tu.
Seif kapigwa wapi?
Mbona sioni picha
Nimeongea hapa na watu wa cafu wanasema yule mzee ni snich uwa anaiuza Zanzibar kisha yeye aonekani kabisa kama ndio msaliti
Nikiwatazama wakina boby Brown
Wakina kiza besgiye
Angalau hata Odinga Odinga alitolewa Nundu pale kesha
Seif na Mbowe katika hizi harakati za kudai mageuzi wameshawahi hata kupigwa konzi hivi
Umaweza ukacheki kwa jicho pevu ukagundua ndani ya upinzani kuna makada…
 
Kuna jamaa nadhani anatumia VPN kanionyesha a very disturbing video clip ya mwanaume akifanyiwa vitendo vichafu kwa nguvu huko Zanzibar na wanaosadikiwa kuwa ni wanausalama! Sikuweza kumaliza kuiangalia.
Mkuu ni-pm hiyo clip tafadhali
 
Hebu kuweni na busara kidogo hawa watu wamekutwa wakiwa 30 chumba kimoja wakiwa na computer mpakato kwa ajili ya kuharibu matokeo na bomu moja la kurushwa kwa mkono hapo mlitaka wafanywaje
 
Kuna jamaa nadhani anatumia VPN kanionyesha a very disturbing video clip ya mwanaume akifanyiwa vitendo vichafu kwa nguvu huko Zanzibar na wanaosadikiwa kuwa ni wanausalama! Sikuweza kumaliza kuiangalia.
Ni PM mzee niione jinsi hali ilivyokuwa
 
ujue bana haya mambo huwa tunakanyana humu,ila ukiwa mwamba zaidi husikii madhara yake ndio haya.

sema nini!!!ndio gharama za ushujaa hizi.
 
Seif kapigwa wapi?
Mbona sioni picha

Nimeongea hapa na watu wa CUF wanasema yule mzee ni snitch uwa anaiuza Zanzibar kisha yeye aonekani kabisa kama ndio msaliti

Nikiwatazama wakina boby Brown
Wakina kiza Besgiye

Angalau hata Odinga Odinga alitolewa Nundu pale kesha
Seif na Mbowe katika hizi harakati za kudai mageuzi wameshawahi hata kupigwa konzi hivi

Umaweza ukacheki kwa jicho pevu ukagundua ndani ya upinzani kuna makada…
Upuuzi huu...ni kama vita ya tanzania na uganda hlf uulize mbona idi amin hajaguswa...jifunze
 
Seif kapigwa wapi?
Mbona sioni picha

Nimeongea hapa na watu wa CUF wanasema yule mzee ni snitch uwa anaiuza Zanzibar kisha yeye aonekani kabisa kama ndio msaliti

Nikiwatazama wakina boby Brown
Wakina kiza Besgiye

Angalau hata Odinga Odinga alitolewa Nundu pale kesha
Seif na Mbowe katika hizi harakati za kudai mageuzi wameshawahi hata kupigwa konzi hivi

Umaweza ukacheki kwa jicho pevu ukagundua ndani ya upinzani kuna makada…
Bobby Brown [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom