Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Mazrui Nassor watu Zanzibar wanasema washamtafuta kwenye Hospital na Vituo vyote vya Polisi bila mafanikio.Uzuri ni kwamba amepewa matibabu na anaendelea vizuri ashukuriwe Muumba.
Maana walikuwa washaanza kuzusha jamaa ankufa ati.
Huenda kapaa kama Yesu jinsi alivyopaa kwenda Mbunguni.Mazrui Nassor watu Zanzibar wanasema washamtafuta kwenye Hospital na Vituo vyote vya Polisi bila mafanikio.
Daah pole yake. Jamaa ana bahati mbaya sana. Mara mbili jamaa wamemteka, hii ya pili inaonekana wamepotea naye kabisaMazrui Nassor watu Zanzibar wanasema washamtafuta kwenye Hospital na Vituo vyote vya Polisi bila mafanikio.
dah hujafa hujaumbika..pole sana
Hivi kupinga uovu kama huu na wenyewe inatakiwa mpaka mtu awe na chama ????Kuna watu wana roho mbaya hatari
Safi... Amshukuru Mungu.. sanaa
Uwenda kapaa kama Yesu jinsi alivyopaa kwenda Mbunguni.
Hivi kupinga uovu kama huu na wenyewe inatakiwa mpaka awe na chama ????
Vyombo vya habari havitangazi kabisa, hata mauaji Al shabab ya jana kule mtwara. Yote kimya.
Embu ni pm hiyo video mkuuKuna jamaa nadhani anatumia VPN kanionyesha a very disturbing video clip ya mwanaume akifanyiwa vitendo vichafu kwa nguvu huko Zanzibar na wanaosadikiwa kuwa ni wanausalama! Sikuweza kumaliza kuiangalia.
Mkuu ntumie pm aiseKuna jamaa nadhani anatumia VPN kanionyesha a very disturbing video clip ya mwanaume akifanyiwa vitendo vichafu kwa nguvu huko Zanzibar na wanaosadikiwa kuwa ni wanausalama! Sikuweza kumaliza kuiangalia.
Juzi walivamiwa tena, huko kutai.Kuna mauaji mengine tena yamefanyika Mtwara?