donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kwa huo usemi wa kujila, bila shaka kijana ulipitamo mujibu wa sheria
Unataka kufungwa wewe..Uchome shule moto.Naweza kuchoma shule Moto nikimkuta binti yangu hivi,
Huwezi kumdanganya mwanangu kiasi hicho halafu nikutazame.. Mtoto ananiuma kuliko kitu chochote Mkuu.. Bora hata ucheze na Mkewangu kuliko Mtoto.Unataka kufungwa wewe..Uchome shule moto.
Mshughulikie Mwalimu sio shule......teh teh teh......Huwezi kumdanganya mwanangu kiasi hicho halafu nikutazame.. Mtoto ananiuma kuliko kitu chochote Mkuu.. Bora hata ucheze na Mkewangu kuliko Mtoto.
Shule ndio inampa Mwalimu Kiburi.. Yaani nikichoma shule lazima serikali itaangalia namna ya kudeal na walimu kabla sisi hatujadeal na shule.Mshughulikie Mwalimu sio shule......teh teh teh......