Huyu mtu nimjibu nini

Huyu mtu nimjibu nini

Habari wakuu

Girl Wangu kanambia Ameamua kutonipa papuchi tena hadi nimuoe,afu mwisho wa siku ananiuliza Mimi nnasemaje kuhusu hilo

Me nawaza nimjibu kwamba yuko sawa maana mwili ni wake na sina mamlaka kwa sasa kutengua vile hisia zake anavofikiri

Je ntakua nimemsusia shamba nguruwe au Niko sawa maana me huwa cpendag vitu vya kujiombeleza ombeleza kwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana wewe unakula ya bure tu hutoi huduma??
Nakiri huduma haiendani na anachotakiwa kupata,maana nnachangamoto kubwa sana ya uchumi kwa sai

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani inauzwa?
 
Yuda iskariote alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha wala hakutaka aongezewe nyumba na gari...yeye anatoa papuchi tu anadai na ndoa!!
 
Ilishawahi kunitokea hiyo demu ananiletea mapozi eti hajisikii amani kuendelea kufanya mapenzi hivyo tusubiri mpaka tutakapo funga ndoa. Nikamwambia mamaaa uko sahihi kabisa tunachofanya ni kosa. Baada ya wiki ananiambia baby naomba nikasuke, nikamwambia nenda, akniambia sina hela naomba unitumie Basi. Ikabidi nimkumbushe kwa lugha ya kistaarabu kabisa. " Baby si tulikubaliana mpaka tufunge ndoa au umesahau?". Akaniambie yamekuwa hayo tena basi nitakuja tuongee! Alivyokuja tulichoongea ni Siri yetu na Mungu wetu!

Dah yani kama vile mnauziana asee
hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie hivi "Mi mwenyewe nilikuwa nataka kukuambie tuachane na mambo ya kuunganisha vikojoleo na wewe kwa sababu kila nikitoka kufanya na wewe huwa yanaota malenge lenge kwenye dusherere langu." Jonah Hex
 
Jonah Hex

Mkuu hapo utakua umemsusia shamba nguruwe ..coz wahuni watajipigia ...Cha kufanya we tumia mbinu yeyote ule mzigo then akileta hzo habari unakua hujaondoka mtupu ..Hawa mademu wanakuaga na drama Sana we nenda naye taratibu ...Ila kwa kipindi hiki km ulikua unatoa Sana pesa Punguza coz kwenye hii Vita ..uko 50/50 ... Kamwe mwanamke hasusiwi .... akileta ujinga cool down akijirud kula mzigo ndo kanuni

One love
 
Kula nimeshakula kaka
Mara mbili asa naona analeta mgomo wakati kashanipa codes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu

Girl Wangu kanambia ameamua kutoshirikiana na mimi kimwili tena hadi nimuoe, afu mwisho wa siku ananiuliza Mimi nnasemaje kuhusu hilo

Me nawaza nimjibu kwamba yuko sawa maana mwili ni wake na sina mamlaka kwa sasa kutengua vile hisia zake anavofikiri

Je, nitakua nimemsusia shamba nguruwe au niko sawa? Maana me huwa sipendagi vitu vya kujiombeleza ombeleza kwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app

Usimpe matumaini ya kumuoa kama hauna nia naye....mwache atafute mwingine wa kumdanganya tu.
 
Back
Top Bottom