Huyu mtu nimjibu nini

Huyu mtu nimjibu nini

Kaka hilo mbona tatizo dogo tu.. wewe mpange kwa maneno mengii na mzuri.. kesho jioni analete papuchi mwenyewe..
Mdomo huu wa binadamu umepewa power kubwa sana.. unaweza kupatanisha na kuchonganisha.. wewe mpe maneno matam matam .
Maneno nshampa sana nadhan kashayazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia nikwambie kitu,dawa ya Moto ni Fire,chakufanya mpende like never before yani

mpende kuliko ulivyokua ukimpendaga kbla,halafu sasa "no ndoa" yani usionyeshe

hata dalili za kutaka kumuoa,halafu muonyeshe uwezo wa kukaa bila kumkwichi kwichi

unao vizuri tu,Ukizidiwa tafuta kipoozeo kimya kimya bila yeye kujua,Muache akae na K yake.
 
Kaka hilo mbona tatizo dogo tu.. wewe mpange kwa maneno mengii na mzuri.. kesho jioni analete papuchi mwenyewe..
Mdomo huu wa binadamu umepewa power kubwa sana.. unaweza kupatanisha na kuchonganisha.. wewe mpe maneno matam matam .
Nilishafanya ivi...aisee nilifanikiwa sana
 
Sikia nikwambie kitu,dawa ya Moto ni Fire,chakufanya mpende like never before yani

mpende kuliko ulivyokua ukimpendaga kbla,halafu sasa "no ndoa" yani usionyeshe

hata dalili za kutaka kumuoa,halafu muonyeshe uwezo wa kukaa bila kumkwichi kwichi

unao vizuri tu,Ukizidiwa tafuta kipoozeo kimya kimya bila yeye kujua,Muache akae na K yake.
Bonge la ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona majibu yako yamejitosheleza..Au unatafuta stress huku😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom