Huyu mtu nimjibu nini

Huyu mtu nimjibu nini

Fanya mipango umuoe utaona maisha yatakavyobadilika mkuu. Kama una kazi, funga ndoa kaka nakushauri kwa roho safi tu.

Hakuna siku utakuja kusema uchum wako umekuwa mkubwa. Always uchumi ukiongezeka na majukumu yanaongezeka na hakuna kinachobaki hakina kazi.
Kweli mkuu ila kwa sasa sina kipato cha kufanya mipango ya kufanikisha ndoa,Nna mkopo mkubwa mno wa mwaka mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moments za uchumba miaka hii ni very stressful..
Unaweza jiua.
 
Mwanamke anaanzaje kukupa masharti ya hivyo, huyo kashakuona bwege hapo kuna mjinga anajimegea kisela..
 
Kaka hilo mbona tatizo dogo tu.. wewe mpange kwa maneno mengii na mzuri.. kesho jioni analete papuchi mwenyewe..
Mdomo huu wa binadamu umepewa power kubwa sana.. unaweza kupatanisha na kuchonganisha.. wewe mpe maneno matam matam .
 
Back
Top Bottom