Huyu mtu ni nani?

kwahiyo mimi navaa blauzi za vitenge
No.....nimesema upana wa Sura yani muonekano hiyo miwani (upande wa juu tu) mambo ya blauz sijazungumzia lakini hata ukiangalia Avatar yako ambayo nimeitumia kulinganisha wewe umevaa shati.
 
Mgosi, naona kuna jamaa kama watatu hivi wamevalia kitenge cha juu kwenye hio picha, maana kuna jamaa mwingine anatumia simu na mwingine ameweka mikono nyuma.

Hapo sio Accra au Kumasi hapo kweli?
Hata mimi nlipoona Picha tu, nikahisi itakuwa Ghana
 
No.....nimesema upana wa Sura yani muonekano hiyo miwani (upande wa juu tu) mambo ya blauz sijazungumzia lakini hata ukiangalia Avatar yako ambayo nimeitumia kulinganisha wewe umevaa shati.
 
Huyu ni mwanaume wa Dar mkuu huoni amevaa shati la kitenge!
 
Usimroge jamani ana majukumu bora hata umfanye kijakazi wako leo usiku kwenye shughuli zako
Bahati nzuri nimeamka salama salmin... hajaniroga. Natumai amelisikia ombi langu. Asante Mshana Jr. Nakuahidi kuwa mtiifu kuanzia leo.... sitarudia tena kukuchokoza maana jana nilivyobofya tu kitiara cha kutuma nikaanza kuhisi mawenge. Duh! Sirudii teena
 
<<Anaendana na WAKATI uliopo !! sio ajabu mdada kuvaa Sarawili >>>.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…