Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

Wewe jiandae kuliwa na kuachwa tu,jamaa tayari kashaonesha dalili zote za kupiga na kusepa.
 
Hujui unachotaka kwakweli maana hujipendi.Muongo muongo. Mtu anajitoa unafikiri boya
 
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni

Kwa kipindi hicho sikuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo mwanaume wa nnje ya nchi…. Kama unavojua mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja sumaku huvutana

Kwa kipindi hiko sikuwa nampenda yoyote kati yao maana sikuzingatia… ukaribu na chris tukajikuta nimempa tunda, hilo jambo nilijutia sana kwasababu sikuwa nikimpenda halafu jamaa sijui ndio akazama kwangu, akaanza kuwa msumbufu mpk kukeraa,, nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 ( alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu)

Baada ya miezi 2 nikamwambia mimba imetoka jamaa alilaumu sana akisema nimetoa ila mimi nilikazana imetoka basi bhn nia ilikuwa ni kumuacha ili nibaki na mwanaume wangu wa siku zote maana alionesha malengo japo hatukuwai kuonana… nilifanikiwa kumuacha yule kaka( chris) japo alikuwa king’ang’anizi

Mpnz wangu wa nnje alirudi tukaonana na mipango ikaendelea na alikuwa akinipenda sana but kama mnavojua mipango si matumizi yule kaka sipo nae tena( siwezi kuelezea kilichotokea maana nitafungua code ila hatuna mahusiano kabisa kabisa) ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu

Kwa sasa nimerudi kwa chris japo mguu pande kwasababu sijamuamini kiivo… kuna jambo alimwambia rafiki yake kwamba mimi alinifumania jambo ambalo sio kweli na nimeshangaa ni kwanini amemwambia rafiki ake hivyo kwamba alinipigia simu usiku akasikia sauti ya mwanaume anauliza naongea na nani( jamaani wananchi ilo jambo ametunga si kweli)

Sasa nimewaza huyu jamaa sio kwamba karudi kulipa kisasi kwangu nilivyomuacha
Mimi nilimuacha kwasababu ana akili za kitoto mfano akipiga simu upokee hapo hapo kama hupokei atapiga hata mara 20 mpk nikawa naogopa ukipikea sasa zinaanza lawama hii hali ya kulaumiwa kila siku nikaichoka yaani tuna miezi 2 ila kama miaka ndio ikapelekea nimuache

Kilichonirudisha kwake ni kwakuwa sina mtu ninaemuelewa kwa sasa then nimeona kama yeye ananipenda japo mimi still nasuasua

Ila sasa hivi amekuwa bahili hata vocha ni kusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto

Wakuu ushauri kuhusu huyu mtu nifanyaje
Hapo ndio huwa napendea wanaume ukimess na sisi inakula kwako sio kwetu.

Mwanaume akuoende umuache ilkisha urudi aendelee kukupenda jlkwa upedno ule ule sio rahisi.

Wewe ni Tanga Tanga na ashajua hilo, kwa sasa mpango wake ni kukumega na hilo la kimba ni kukufanya super singo Maza kama wengi wa humu mkuu, walijitia kujua arguments na Men saivi wamegeuka chimbo la matusi kwa wanaume
 
Haujatulia binti, unatamaa, hauna msimamo, haujui unacho kitaka, hauna malengo wala mipango kwenye maisha yako ya kimahusiano.
Haujui unataka nini zaidi ya ny€ge na upweke ndio vinakusumbua.
Wanawake kama wewe ama wenye tabia za kufanana na wewe hua wanakua na mwisho mbaya sana wa kimahusiano.
Alafu........
Mwanaume yeyote ulie muacha wewe then ukamrudia tena wewe, hapo jiandae kupigwa na tukio ambalo litauacha moyo wako na tobo kama sio shimo la jeraha.
 
Nje ya Mada,,Na Mimi naomba tunda nilitafune kama hutojali Bibiee!!
Hahahaq mkuu uko tayari na ww kugeukwa geukwa maana msimamo hapo nimeona ni ziro. Hawa ni wale kujitia hawafanywi mara kwa mara ila lifestyle zao huwa ngumu kukaa nao nje na ndani ya ndoa
 
Wanawake wengi tu hawajui hasa wanachotaka nini, ndio maana wenaume wanapata shida sana wasipofuata maandiko ya kutumia bongo zao kuishi nao.

Look at the lady, hajui hasa anataka nini.

Ukweli sijui nataka nini sijui kabisaa… ila uwezi amini nilituliaga sana na mwanaume wangu wa nnje ila ndio haikupangwa hivyo kwaiyo sasa nipo dilemma
 
Unasema anataka kulipa kisasi, akupe mimba na wewe humpendi. Ila hapo hapo unamuita bahili ila bado upo naye. Tamaa za pesa mbaya sana
 
Hiv mapenz na mahusiano kumbe ni magumu namna hii kwa watu?? Au ni mm ndio huraisisha tu😂😂😂
 
images (2)i.jpeg


PambanaZaidi/CottonandMore
 
Unasema anataka kulipa kisasi, akupe mimba na wewe humpendi. Ila hapo hapo unamuita bahili ila bado upo naye. Tamaa za pesa mbaya sana

Nimeuliza Kama karudi kwangu kulipa kisasi ama…
Tulikulana mara moja tu… amesema amechoka mahusiano ya kupeana hela halafu namnyima uchi ndio kawa bahili

Mambo ya mimba ni kwa kuwa alisema aniamini tena naweza kumgeuka ili aniamini anipe mimbaa
 
Back
Top Bottom